El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 3,082
- 6,530
ok ngoja nikomae tu mpa mwisho maana maji nishayavulia nguo..Mkuu jipe moyo utashinda tu, mwezi wa 6 bado sana kwa kukata tamaa. Kuna watu humu niliona shuhuda zao walipata placement baada ya miezi kuanzia 4 toka wafanye oral
Swala la muda mdau everything to be right soon donβt worry about thingsWeek ngumu sana hii kwa jobless.
pole mkuu lkn sio nzuri hata hivyo usimkalibishe shetan mkuuilikua feki ndugu yangu watu wanachakachua mpaka sumu..
Soma mkuu, utakuwa unajiweka kwenye position zuri, na uta cover sehemu kubwa ya sessions.WAKUU NAWEZA KUANZA KUSOMA KIPINDI HIKI KUJIANDAA NA INTERVIEW AMBAYO SIJUI WATAITA LINI??
yeah maana shortlist uhakika mkuu nina vigezo vyote sema wasi wasi nawaza wanaweza ita mwezi wa 1 2026 ndio tabuSoma mkuu, utakuwa unajiweka kwenye position zuri, na uta cover sehemu kubwa ya sessions.
Usijiamini sana mkuu, utumishi ni watu wa ajabu sana, otherwise labda uwe na connection.yeah maana shortlist uhakika mkuu nina vigezo vyote sema wasi wasi nawaza wanaweza ita mwezi wa 1 2026 ndio tabu
Mkuu kwa utumishi hiyo kawaida sana, kila siku humu tunasikia "wandewa" wanasema wana received zenye umri wa ujauzito wa miezi 9yeah maana shortlist uhakika mkuu nina vigezo vyote sema wasi wasi nawaza wanaweza ita mwezi wa 1 2026 ndio tabu
Soma ujiandae uwe nondo ata kwa siku dakik 25 zinatosha kupitiaWAKUU NAWEZA KUANZA KUSOMA KIPINDI HIKI KUJIANDAA NA INTERVIEW AMBAYO SIJUI WATAITA LINI??
pole mkuu wakati wako utafika hope mkuu Mungu ni mwemaSoma ujiandae uwe nondo ata kwa siku dakik 25 zinatosha kupitia
Maana sisi wasubiri pdf la placement matumbo yameshaanza kupata ulcers
bora nikaushe tuuMkuu kwa utumishi hiyo kawaida sana, kila siku humu tunasikia "wandewa" wanasema wana received zenye umri wa ujauzito wa miezi 9
Piga msuli mkuu, utumishi ni watu wa surprise muda wote! So pay attention!bora nikaushe tuu
Ngoja tusubiri tuone mtaalamSwala la muda mdau everything to be right soon donβt worry about things
nta solve qtnsPiga msuli mkuu, utumishi ni watu wa surprise muda wote! So pay attention!
namaanisha kuitwa usail kwenda kufanya post walizo tqngaza ni match mkuu sio kufaulu kufaulu anajua MUNGUUsijiamini sana mkuu, utumishi ni watu wa ajabu sana, otherwise labda uwe na connection.
Mwezi Jan 2026 siyo mbali, be active tu kwa lolote litakalo tokea.
Unasubir database au directSoma ujiandae uwe nondo ata kwa siku dakik 25 zinatosha kupitia
Maana sisi wasubiri pdf la placement matumbo yameshaanza kupata ulcers
OK mkuu, pambana ili uje kwenye buyu la asali ππnamaanisha kuitwa usail kwenda kufanya post walizo tqngaza ni match mkuu sio kufaulu kufaulu anajua MUNGU
amina mkuu MUNGU ni mwema ntafika tu hata kwa kuchelewaOK mkuu, pambana ili uje kwenye buyu la asali ππ
Acha tu yani wanatusababshia msongo wa mawazo sanarahsully hawa jamaa watakuja kututoa damu...