Msaada tutani !!
Nilifanya interview chuo X mwaka huu, nikafika oral (Placement ilishafanyika) hivyo nina selected for oral moja. Leo hii imeongezeka selected for oral nyingine chuo hichohicho post nyingine ambayo nilitwaga interview ila sikwenda hii inakuwaje?
interview niliyo itwa sikwenda niya miaka ya nyumahuwez kuwa selected for oral kama writtern bado mkuu una received au?
haina haja jipange haina impact yeyote mkuuinterview niliyo itwa sikwenda niya miaka ya nyuma
completed hapo wanamaanisha kwamba tumemalizana sikudai hunidai.. 🤣 🤣Hii competed dizaini km kuliwa kichwa hivi
Wadau mnajipa stress completed inamaana mchakato umeshapita au imeshafanyika sasa hapo kuna usiano gan na replacementHii competed dizaini km kuliwa kichwa hivi
Vyuoni barua za placement zinaandikwa kutoka chuoni, kwenye taasisi barua zinatoka kwa katibu wa utumishi. Hivyo kunakuwa na foleni kwenye uandaaji wa barua tofauti na chuo ambacho barua zinakuwa chache.sio MUST tu hata UDSM na vyuo vingine sjui kwenye taasisi kuna nini..
Upo sahihiVyuoni barua za placement zinaandikwa kutoka chuoni, kwenye taasisi barua zinatoka kwa katibu wa utumishi. Hivyo kunakuwa na foleni kwenye uandaaji wa barua tofauti na chuo ambacho barua zinakuwa chache.
na wewe replacement ndio nini na unategemea kuitwa kazini kweli KILA MDA REPLACEMENT jitafakali bwana ni PLACEMENT SIO REPLACEMENTWadau mnajipa stress completed inamaana mchakato umeshapita au imeshafanyika sasa hapo kuna usiano gan na replacement
Mkuu unajiandaa na usahili wa kada gani?na wewe replacement ndio nini na unategemea kuitwa kazini kweli KILA MDA REPLACEMENT jitafakali bwana ni PLACEMENT SIO REPLACEMENT
mmh upo mbali mkuu hata deadline ni leo mkuu so hata sina moli mkuuMkuu unajiandaa na usahili wa kada gani?
Hapo juu si ulisema unataka ujiandae na interview.mmh upo mbali mkuu hata deadline ni leo mkuu so hata sina moli mkuu
ndio mkuu ni ya FINANCEHapo juu si ulisema unataka ujiandae na interview.
Finance Management officer II by Hazina sio?ndio mkuu ni ya FINANCE
yeah sahihuli kabisa imagine ukagonga msuli afu hujapita inauma sana mkuuSema Haya mambo bwana yanaenda kwa “zali la mentali”,siku yako ikifika hutumii nguvu nyingiiiiiii.
yeah na naot mdas vs lgas pia nimeomba so nina received kama 10Finance Management officer II by Hazina sio?
Received 10!..sio 3?yeah na naot mdas vs lgas pia nimeomba so nina received kama 10
Hamna mwananagu Finance na Accounting ni pana sana,we gonga msuli..yeah sahihuli kabisa imagine ukagonga msuli afu hujapita inauma sana mkuu
10 mkuuReceived 10!..sio 3?
nyingine za mda uliopita mkuuHamna mwananagu Finance na Accounting ni pana sana,we gonga msuli..