HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
wakuu aliekutana na hii changamoto katatua vipi hapo haloo msaada
 

Attachments

  • Screenshot_20250827-120424_Chrome.jpg
    108.1 KB · Views: 30
mkuu si ulikua unasubiri kwenda kufanya usaili uliombaje mara ya kwanza sasa.au ndo huu mfumo wa index number umesababisha...
huuu mfumo wa ovyo kabisa mabadiliko yasiyo ya muhimu huyo IT anaharibu mambo halooo🤔🤔🤔🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…