El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 3,082
- 6,530
umeshawahi kufanya usaili utumishi? kama ndio ulikua unatumia hicho cheti ulichofeli au kuna kingine ulitengenezakila mtu na njia yake hii TANZANIA BWANA we nipe soln kama ume experience hiyo issue mkuu
Kiaje?wakiingiza kwenye system na majina ya chuo watu wengi wataaga mashindano..
wakiunganisha na mifumo ya vyuo na system ya utumishi kama walivyofanya kwa form 4 na 6Kiaje?
mkuu mitaala ya elimu TZ ipo tofauti sana walicjukua hadi 4 ya 40 huko saa hii haipoumeshawahi kufanya usaili utumishi? kama ndio ulikua unatumia hicho cheti ulichofeli au kuna kingine ulitengeneza
ndio 4 zote nimefanya chuo nina GPA nzuri tu na SIX PIA nina 10 TWOumeshawahi kufanya usaili utumishi? kama ndio ulikua unatumia hicho cheti ulichofeli au kuna kingine ulitengeneza
cha kuzaliwa piaMfumo wa sasa hivi cheti pekee unachotakiwa kupiga muhiri wa mawakili au mahakama ni cha chuo.
sasa kama serikali yenyewe ilifanya hivyo hapo dawa ni kuwapigia utumishi uwaambiemkuu mitaala ya elimu TZ ipo tofauti sana walicjukua hadi 4 ya 40 huko saa hii haipo
wamesema hawana msaada na mimi mkuu niende nectasasa kama serikali yenyewe ilifanya hivyo hapo dawa ni kuwapigia utumishi uwaambie
MWezi 2 mwaka huuUlifanya oral mwezi gan
Bas tuwe na subraMWezi 2 mwaka huu
💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾Bas tuwe na subra
MImi ningekuwa ni yeye, ningeenda kujichanganya na wanafunzi wa mzumbe sec halafu nalala zangu bwenini.Kutoka DSM ad moro kwa gari 13k na SGR 13500
Kutoka msamvu stand adi soko la chief kingalu kwa boda elfu mbili au ukipanda bajaji ni 500 sema haifiki chief kingalu itabidi utembee kama dakika 2 kwawewe mgeni panda boda itakuwa rahisi unamwambia chief kingalu zinapo park gari za kwenda mzumbe mlali
Kutoka kingalu adi mzumbe main gate, au kanisanii au changarawe ni buku moja
Kuna lodge za 10 adi kumi na tano na kwenda mbele sema lodge kule n chache haswa na upande wa chakula ni affordable price
NB: Lodge nyingi zipo sangasanga n njia panda ya kwenda mzumbe na kwenda iringa so unaweza kulala ata apo sangasanga na morning ukaenda mzumbe na Boda au ukaenda kutafuta lodge maeneo karbu na chuo ni wewe
Kila la kheri
Duuh pole sana mkuuwamesema hawana msaada na mimi mkuu niende necta
kuna pdf la kinoko nendeni mkachungulie naona IT anarudi reverse
Sema mwanangu avatar yako inachekesha kinoma.Duh page moyaaa