HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Some of us men are building from scratch. No connections, no inheritance, no handouts. Just God, blood, sweat, and pure luck. If you're one of us, please heart this.
Tunamiliki imani tu huruma kwa nchi kama Tanzania kutegemea imani maana utakuwa disappointed mpaka unaingia kaburini.... Ila hakuna kukata tamaa kwasababu asie kata tamaa hana tamaa.!! 🙏🏾🙏🏾
 
Huko kwenye taasisi kubwa wameenda Kama Tutorials au wamebadilishiwa kazi?
 
Tusaidiane machaka ya kuhamia wadau.
Yawe na ahueni ya kuokota chochote kitu walau allowance mbili tatu.
Maana duh! huku tuliko hali ni ngumu. Ofisi hata chai tu hakuna
 
🤣 🤣 🤣 halmashauri nini?
Mimi nakwambia ziko taasisi kavu kuliko halmashauri.
Jamaa yangu yuko halmashauri moja ni afisa manunuzi. Mwaka wa tatu kazini kakutana na ujenzi wa madarasa ya mama hela za Covid. MRADI umeisha na yeye ana nyumba ya 80M na IST juu.
Madogo wengi hawajui haya mambo
 
yaah sure kuna halmashauri nyingi tu watu wanapiga hela.naonaga watu wanadis halmashauri kuna hela ndogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…