El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 3,082
- 6,530
yaah sure kuna halmashauri nyingi tu watu wanapiga hela.naonaga watu wanadis halmashauri kuna hela ndogoMimi nakwambia ziko taasisi kavu kuliko halmashauri.
Jamaa yangu yuko halmashauri moja ni afisa manunuzi. Mwaka wa tatu kazini kakutana na ujenzi wa madarasa ya mama hela za Covid. MRADI umeisha na yeye ana nyumba ya 80M na IST juu.
Madogo wengi hawajui haya mambo
Ukame upo kwa baadhi ya kada ambazo hela hazipiti mikononi mwao.yaah sure kuna halmashauri nyingi tu watu wanapiga hela.naonaga watu wanadis halmashauri kuna hela ndogo
yaah ni kweli kabisa..Ukame upo kwa baadhi ya kada ambazo hela hazipiti mikononi mwao.
Lakini sio kwa wahasibu, maafisa biashara na manunuzi.
Kazi tofauti kabisaHuko kwenye taasisi kubwa wameenda Kama Tutorials au wamebadilishiwa kazi?
OkKazi tofauti kabisa
Mfano huwezi kuwa Tutorial TBA
Mimi naona Kuna shida kubwa sana kwenye mfumo mzima. Ten percent IMEKUWA ni halali ingawa sio rasmi lakini hupati tender yeyote Kama hujawashika wakubwa mkono.Hii nchi ngumu wizi umehalalishwa wazwaz
Na hatutakuja kuendelea kamwe kwa ubinafs huu mm nishasema nikijapa nabadili uraia fasta niende zangu hata Amerika uko mexicoMimi naona Kuna shida kubwa sana kwenye mfumo mzima. Ten percent IMEKUWA ni halali ingawa sio rasmi lakini hupati tender yeyote Kama hujawashika wakubwa mkono.
Ofisi gani hiyo haina chai boss ?Tusaidiane machaka ya kuhamia wadau.
Yawe na ahueni ya kuokota chochote kitu walau allowance mbili tatu.
Maana duh! huku tuliko hali ni ngumu. Ofisi hata chai tu hakuna
Mnasifiana kwa wizi wa mali za umma.Mimi nakwambia ziko taasisi kavu kuliko halmashauri.
Jamaa yangu yuko halmashauri moja ni afisa manunuzi. Mwaka wa tatu kazini kakutana na ujenzi wa madarasa ya mama hela za Covid. MRADI umeisha na yeye ana nyumba ya 80M na IST juu.
Madogo wengi hawajui haya mambo
Wanapiga hela = wanaiba helayaah sure kuna halmashauri nyingi tu watu wanapiga hela.naonaga watu wanadis halmashauri kuna hela ndogo
Ila kuitwa kazin ndo baada ya mwaka kwel😢. Tuombe tu wadau hivohivonaona halmashauri wameanza kukichafua upande wa call for interview sasa
ukiomba kazi sasa hivi ujue usaili ni mwakani na majina yanatoka kwenye mwez wa sita hivi....Ila kuitwa kazin ndo baada ya mwaka kwel😢. Tuombe tu wadau hivohivo
Unemployment can make anyone feel useless in their family. I pray for you now, may God bless you with a permanent job in September. Claim it.ukiomba kazi sasa hivi ujue usaili ni mwakani na majina yanatoka kwenye mwez wa sita hivi....
Thanks a lot bro🙏🙏Unemployment can make anyone feel useless in their family. I pray for you now, may God bless you with a permanent job in September. Claim it.
Thanks a lot bro🙏🙏Unemployment can make anyone feel useless in their family. I pray for you now, may God bless you with a permanent job in September. Claim it.
Ameen🙏Unemployment can make anyone feel useless in their family. I pray for you now, may God bless you with a permanent job in September. Claim it.
Umepewa bajeti ya kujenga darasa kwa milioni 20. Ukapata mkandarasi wa kujenga kwa milioni 10 au 12.Mnasifiana kwa wizi wa mali za umma.
AmenUnemployment can make anyone feel useless in their family. I pray for you now, may God bless you with a permanent job in September. Claim it.