HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kumbe sirudii kujitesa kwenda kwenye interview zao aise😁
 
nyingine hii hapa: utaskia wee mwenye shati lenye maua kule nyuma tumesema pens down we bado unaandika tutakupa matokeo yako hapahapa...🤣🤣🤣🤣View attachment 3463983
Nilivyoiona hii venue ,, imenikumbusha interview ya T.R.A ,, auditorium pale Dodoma ... Kwa kweli sitokuja kwenda tena Interview za T.R.A kama wataziendesha wenyewe labda zipitie utumishi ...
 
Nilivyoiona hii venue ,, imenikumbusha interview ya T.R.A ,, auditorium pale Dodoma ... Kwa kweli sitokuja kwenda tena Interview za T.R.A kama wataziendesha wenyewe labda zipitie utumishi ...
Hivi TAEC zinaendeshwa na Utumishi wenyewe?
 
Ndio, maana tangazo walitoa wenyewe
Anha kumbe mchongo upo hivyo.
Maaba wasela wenge wanavoluntia huko sasa hivi sasa unaweza choma laki zako kadhaa kwenda usaili kumbe unaenda kuja Cive auditorium tu.
 
Anha kumbe mchongo upo hivyo.
Maaba wasela wenge wanavoluntia huko sasa hivi sasa unaweza choma laki zako kadhaa kwenda usaili kumbe unaenda kuja Cive auditorium tu.
Unachoma hela nyingi halafu unaishia Oral si bora usiende tu
 
Si bora hata hiyo oral mkuu,, kuna njemba ni written tu.
Wanaoishia Oral ndio wanaumia sana kuliko wanaoishia written maana oral unachoma hela nauli yako kwenda kurudi chakula maradhi unakaa siku 2 au 3 una-risk mpaka uhai wako kwenda Dodoma unasafiri umbali mrefu kisha PDF linatoka jina halipo
 
Dah binadamu kiumbe cha ajabu kinakushortlist afu kinajua kabisa hupenyi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…