HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Wanaoishia Oral ndio wanaumia sana kuliko wanaoishia written maana oral unachoma hela nauli yako kwenda kurudi chakula maradhi unakaa siku 2 au 3 una-risk mpaka uhai wako kwenda Dodoma unasafiri umbali mrefu kisha PDF linatoka jina halipo
Kwa akili hizi hutokaa uone jema na utapigika sana huko utumishi.

Badili fikra zako mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…