Hongera sana mkuuMungu huyu Mungu ni mkubwa sana....Asante kwa Mungu kwamaana Ile hofu ya maisha ya kesho yangu yote ameifuta leo....
Wakuu nawashukuru wote humu ndani Mwifwa Rahsully El marabiosh na wengine wote asanteni sana wakuu wangu....
Leo nimepata kazi....siwezi kuelezea ukuu wa Mungu wakuu sijui sijui na sielewi...
Aminini ya kwamba kama mimi nimepata kazi basi wote humu ndani tunao uwezo wa kupata kazi na kusaidia familia zetu wakuu ....
Am very happy am over the moon aiseh....
Nikitulia nitatuma maelezo ya kuanzia maandalizi hadi kupata kasi
🙏🙏🙏🙏 kila lakheri mkuu mungu akutangulie..Mkuu naamini tutatoka wote humu....sio mkosi aiseh ni wakati bado....mambo makubwa mazuri huchukua muda ....tusiache kumtanguliza Mungu na kumwambia haja zetu sikuzote.
Nisiwe muongo mkuu msuli nilipiga sana pia nilisalia ajira hii mwaka uliopita karbu mwez mzima naomba hii kazi...haikuwa rahisiHongera sana mkuu
inaonesha ulipiga sana msuli na ulisali sana 😆
kila la heri mtumishi mpya
Amen na Asante ndugu yangu.... Mungu akawakumbuke na nyinyi🙏🙏🙏🙏 kila lakheri mkuu mungu akutangulie..
Hii inatia moyo hakika Mungu ni mwemaWewe jamaa ubarikiwe sana....kunasku mwaka jana mwez wa 8 uliniambia nitapata moja kati ya received zangu 5 kaka...na kweli nimepata moja leo....
Nina ushuhuda
hongera mkuu wengi wanafanikiwa kwa njia iyoNisiwe muongo mkuu msuli nilipiga sana pia nilisalia ajira hii mwaka uliopita karbu mwez mzima naomba hii kazi...haikuwa rahisi
hii imenifanya nihisi kwamba nitaitwa japo nilijibu pumba....Nisiwe muongo mkuu msuli nilipiga sana pia nilisalia ajira hii mwaka uliopita karbu mwez mzima naomba hii kazi...haikuwa rahisi
Hii nchi ngumu sana.chuo ulifikaje
Hongera Sana mkuu karibu kwenye utumishi wa ummaMungu huyu Mungu ni mkubwa sana....Asante kwa Mungu kwamaana Ile hofu ya maisha ya kesho yangu yote ameifuta leo....
Wakuu nawashukuru wote humu ndani Mwifwa Rahsully El marabiosh na wengine wote asanteni sana wakuu wangu....
Leo nimepata kazi....siwezi kuelezea ukuu wa Mungu wakuu sijui sijui na sielewi...
Aminini ya kwamba kama mimi nimepata kazi basi wote humu ndani tunao uwezo wa kupata kazi na kusaidia familia zetu wakuu ....
Am very happy am over the moon aiseh....
Nikitulia nitatuma maelezo ya kuanzia maandalizi hadi kupata kasi
Ooooh jaman,am happy for you my brother,yaani ninavyokenua juu ya furaha,nafeel ile tabasamu ambayo uko nayo wakati huu asee😍,wishing you all the best,Mungu akuongoze vyema katika safari hii kaka,umetukimbia lakini natumai na sie tunafata soon kwenye hio asali,big up Engineer💪🏼Mungu huyu Mungu ni mkubwa sana....Asante kwa Mungu kwamaana Ile hofu ya maisha ya kesho yangu yote ameifuta leo....
Wakuu nawashukuru wote humu ndani Mwifwa Rahsully El marabiosh na wengine wote asanteni sana wakuu wangu....
Leo nimepata kazi....siwezi kuelezea ukuu wa Mungu wakuu sijui sijui na sielewi...
Aminini ya kwamba kama mimi nimepata kazi basi wote humu ndani tunao uwezo wa kupata kazi na kusaidia familia zetu wakuu ....
Am very happy am over the moon aiseh....
Nikitulia nitatuma maelezo ya kuanzia maandalizi hadi kupata kasi
mwezi wa 12 au januari tareh za mwanzoWakuu naomba kuuliza hivi zile nafasi za TPA na TAEC walizotangaza Utumishi mwezi wa sita mwishoni mpaka wa saba mwanzoni deadline ilikuwa tarehe 09/07 kama sikosei usaili unaweza kuwa lini?Au kwa kukadilia tu wanaweza kuita watu lini kwenye interview/usaili maana miezi miwili sasa?
Asante mkuu....huu uzi ni nguzo kubwa sanaHo
Hongera Sana mkuu karibu kwenye utumishi wa umma
Amen amen mkuu sijalala wala kula vyote vimepotea ...kweli ipo amani inayopita amani zote...sio kwa kukata tamaa kule mikando yangu yote nilipigika kasoro mmoja na ndo umenipa furaha ..Mungu mwema sana na nawaombea wote mpate humu ndani .... wakati wa Mungu ni wakati sahihiOoooh jaman,am happy for you my brother,yaani ninavyokenua juu ya furaha,nafeel ile tabasamu ambayo uko nayo wakati huu asee😍,wishing you all the best,Mungu akuongoze vyema katika safari hii kaka,umetukimbia lakini natumai na sie tunafata soon kwenye hio asali,big up Engineer💪🏼
Duuh mbona parefu sana mkuumwezi wa 12 au januari tareh za mwanzo
Sidhani kama anauhakika, ni Kwa mawazo yake kama vile ulivyoomba makadirioDuuh mbona parefu sana mkuu
Si kweli , mwezi wa 10 haifikiDuuh mbona parefu sana mkuu
Mungu Mwema kila wakat Hongera nasisi tupo tunasubir muda wa tumaini letuMungu huyu Mungu ni mkubwa sana....Asante kwa Mungu kwamaana Ile hofu ya maisha ya kesho yangu yote ameifuta leo....
Wakuu nawashukuru wote humu ndani Mwifwa Rahsully El marabiosh na wengine wote asanteni sana wakuu wangu....
Leo nimepata kazi....siwezi kuelezea ukuu wa Mungu wakuu sijui sijui na sielewi...
Aminini ya kwamba kama mimi nimepata kazi basi wote humu ndani tunao uwezo wa kupata kazi na kusaidia familia zetu wakuu ....
Am very happy am over the moon aiseh....
Nikitulia nitatuma maelezo ya kuanzia maandalizi hadi kupata kasi
Si kweli , mwezi wa 10 haifiki
Hongera mkuu, usingizi hauwezi kuja maana mtu unakua huamini ukilala lazima utaotaAmen amen mkuu sijalala wala kula vyote vimepotea ...kweli ipo amani inayopita amani zote...sio kwa kukata tamaa kule mikando yangu yote nilipigika kasoro mmoja na ndo umenipa furaha ..Mungu mwema sana na nawaombea wote mpate humu ndani .... wakati wa Mungu ni wakati sahihi