HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Unaitwa mkuu labda ingekua deadline ishapita, maana kwenye kukagua shortlist pale ndo wanaangalia na vyeti
Hata kama deadline ilipita kama mchakato wa shortlist hukuanza na akapakia vyeti vingne ataitwa tu
 
Wakuu sijawahi kuhudhuria interview za utumishi, hivi dress code kwa mwanaume ni lazima uvae shati uchomekee πŸ™‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…