kitanywe 1
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 222
- 446
Pagumu hapo mkuu jamaa sidhani kama watakubali. Maana kamaa hata kweny Interview utaona kitu ni kidogo ila wanakaza.Habari za muda huu wakuu. Nimefanya application za NAOT kwa bahati mbaya address nimeweka ya NAOT badala ya PSRS kwenye barua. Kuna application zangu zingine za nyuma zilikataliwa kwa sababu hii nataka nibadilishe hii barua. Je nikifika ofisini kwao wanaweza kunisaidia hilo?
Maana mfumo hauruhusu kufanya marekebisho yoyote. Nisaidieni mawazo yenu wakuu maana nategemea kwenda Dodoma ili nisaidiwe hii issue. Nimejaribu kuwapigia simu hawapokei. Nahisi wanaweza kutuita muda wowote kutokea sasa nina hofu wanaweza kunitema.
Mimi jumatatu nataka kuingia ofisini kwao. Maana simu hawapokei mkuu. Jumatatu nataka nikawasikilize.Pagumu hapo mkuu jamaa sidhani kama watakubali. Maana kamaa hata kweny Interview utaona kitu ni kidogo ila wanakaza.
Kama deadline ya kutuma maombi ya hiyo nafasi ilishapita kubarisha si rahisi ila Kama bado wanapokea maombi unaweza saidiwa kinyume na hapo no ngumu lakini nenda kawacheki unaweza ukatoboa tusikukatishe tamaa Kama Dodoma unafika kirahisiHabari za muda huu wakuu. Nimefanya application za NAOT kwa bahati mbaya address nimeweka ya NAOT badala ya PSRS kwenye barua. Kuna application zangu zingine za nyuma zilikataliwa kwa sababu hii nataka nibadilishe hii barua. Je nikifika ofisini kwao wanaweza kunisaidia hilo?
Maana mfumo hauruhusu kufanya marekebisho yoyote. Nisaidieni mawazo yenu wakuu maana nategemea kwenda Dodoma ili nisaidiwe hii issue. Nimejaribu kuwapigia simu hawapokei. Nahisi wanaweza kutuita muda wowote kutokea sasa nina hofu wanaweza kunitema.
Deadline tayari mkuu. Nataka nikapambane nione kama nitafanikiwa.Kama deadline ya kutuma maombi ya hiyo nafasi ilishapita kubarisha si rahisi ila Kama bado wanapokea maombi unaweza saidiwa kinyume na hapo no ngumu lakini nenda kawacheki unaweza ukatoboa tusikukatishe tamaa Kama Dodoma unafika kirahisi
Hongera sana kwa hili mkuu....Habari!
Kama una interview Dodoma. I can host you both male and female.
Wakuu, Ni Kwa wale ambao hawana ramani tu, isiwe kikwazo kuja kupambania Ndogo yako.
USALAMA:
Feel safe, coz I'm not alone in the house, tupo female na male, separate rooms.
UTARATIBU
ili kuhakikisha usalama kwangu na kwako, yafuatayo yanazingatiwa:
1. Proof ya kuwa umechaguliwa kweli kuja kufanya usaili. Jina lifanane na Nida yako
2. Proof ya kwamba kweli unatoka mkoani, nje ya Dodoma( tiketi).
"We give not because we have many, it because we know the pain of having nothing"
Safi sana Mzee, 🫡Habari!

Ubarikiwe kwa hiliHabari!

Hii not shortlisted kwenye ajira portal ndy tuliofika oral safar imekwisha ama maswala ya mtandao
Sijui ndo something is cooked let wait mikeka imekata labda ndo upo jikon mkuuHii not shortlisted kwenye ajira portal ndy tuliofika oral safar imekwisha ama maswala ya mtandao
Mkuu mbona wanasema maswali yapo 50 na muda no saa 1Leo nataka ni share mbinu moja na wapambanaji wenzangu mnaoenda kufanya usaili kwa kipindi hiki.. kama utanielewa inaweza kukusaidia kwa namna moja ama nyingine.
Ukienda kufanya mtihani wa written wa online , kwa kawaida huwa kuna maswali thelathini na muda huwa ni nusu saa tu.
Sasa kuna mbinu moja niliingundua ya kufanya hii mitihani ya written( nasema ni mbinu maana kila mtu anaeenda kufanya written interview huwa amejipanga na anajua)
Ukiwa unafanya maswali inabidi uanze na maswali ambayo ni rahisi yan kila mtu anaweza kufanya baada ya hapo utabakiza yale maswali ambayo ni magumu( haya maswali magumu huwa yapo na huwa kila mtu yana msumbua kichwa maana majibu yake si rahisi kuyapata kwa usahihi, sasa hapo ndio filtration huwa inaanza, kuna wale watakao kurupuka na kuyajibu haraka haraka bila kufikiria ila wewe ukifika kwenye hayo maswali inabidi uwe makini, hakikisaha unayasoma mara mbilimbili, hakikishs unalazimisha ubongo wako kufikiria kwa kina, kulinganisha majibu, hii itakusaidia kupata maana zilizojificha za hayo maswali na katika hatua hiyo ndio watu huwa wanaanza kutofautiana marks kuanzia 2 ,4 , 6 ukishindwa tuyajibu hayo maswali kwa usahihi basi mwenzako atayajibu kwa usahihi na atakuzidi marks ndogo tu na yeye kwenda hatua inayofata.
Hii ni vita ,hivyo inabidi umtangulize Mungu, Pia uwe na mbinu mbalimbali za mapambano.
Niwatakie usahili mwema.
Nimefanikiwa kufika dodoma. Jamaa wamekataa kata kata kunibadilishia address ya barua inamaana wamenidisqualify kwenye hizo applications zangu zote nilizoomba. Nimejaribu kuongea nao sana hawanielewi. Hii haijakaa sawa wakuu. Unakosa vipi nafasi ya ushiriki wa interview kisa address wakati vyeti vyako na kila kitu kipo sawa sawa.Habari za muda huu wakuu. Nimefanya application za NAOT kwa bahati mbaya address nimeweka ya NAOT badala ya PSRS kwenye barua. Kuna application zangu zingine za nyuma zilikataliwa kwa sababu hii nataka nibadilishe hii barua. Je nikifika ofisini kwao wanaweza kunisaidia hilo?
Maana mfumo hauruhusu kufanya marekebisho yoyote. Nisaidieni mawazo yenu wakuu maana nategemea kwenda Dodoma ili nisaidiwe hii issue. Nimejaribu kuwapigia simu hawapokei. Nahisi wanaweza kutuita muda wowote kutokea sasa nina hofu wanaweza kunitema.
Pole Sana mkuu hizi ajira zina ushindani Sana nafasi 5 unakuta wanapambania watu 300Nimefanikiwa kufika dodoma. Jamaa wamekataa kata kata kunibadilishia address ya barua inamaana wamenidisqualify kwenye hizo applications zangu zote nilizoomba. Nimejaribu kuongea nao sana hawanielewi. Hii haijakaa sawa wakuu. Unakosa vipi nafasi ya ushiriki wa interview kisa address wakati vyeti vyako na kila kitu kipo sawa sawa.
Inategemeana mimi written zangu zilikuwa na maswali 30 tu multiple choiceMkuu mbona wanasema maswali yapo 50 na muda no saa 1
Kada gani?Inategemeana mimi written zangu zilikuwa na maswali 30 tu multiple choice