unanitisha na asubuhi leo nina usaili pia🥺Wakuu leo nimefanya usaili wa mtandao kada ya assistant photojournalist, aisee ile n kukomoana 🙌
Nikifaulu bc n kwa nguvu za Mungu na sio uwezo wangu
Hongera sana! Mungu akuonekanie this time round! Akafanyike majibu ya maombi yako!Wakuu, hakika Mungu n mwema mno 🙌
Imagine usiku huu nachungulia nakutana na selected for practical interview aisee nmefurahi Sana, ngoja nikapambane na huko tena.
Naamini Mungu, kama alivyonipitisha hapa, pia huko nitapita salama.
🙏
Wakuu, hakika Mungu n mwema mno 🙌
Imagine usiku huu nachungulia nakutana na selected for practical interview aisee nmefurahi Sana, ngoja nikapambane na huko tena.
Naamini Mungu, kama alivyonipitisha hapa, pia huko nitapita salama.
🙏
Ila haya mambo ya usaili n complicated knoma, unapambana na mngn unakutana na mengn 😂Jamani
unanitisha na asubuhi leo nina usaili pia🥺
Mi hata huwa sijisumbui tena nikishaona tu ni online najua ni aptitute test.. 😅Ila haya mambo ya usaili n complicated knoma, unapambana na mngn unakutana na mengn 😂
Ndy lazima upate kiapo ndg yanguWakuu shikamoni,
Natumai mna jumapili njema,
Nina shida moja naomba msaada wenu mnieleweshe
Vyeti vyangu vya shule jina la kati kuna initial tu mf: John P. Magufuli
Na kwenye cheti cha kuzaliwa na NIDA majina yapo full mf: John Pombe Magufuli
Kutokana na tangazo walilotoa je nahitajika kwenda na affidavit kwenye usaili hapo kesho?
Duh Asante sana mkuuNdy lazima upate kiapo ndg yangu
Tafuta kiapo kwa usalama zaidi ila hiyo issue ilishaelezewa humu kuwa hakuna tatizo. Ila kwa kujiondolea shida zisizo na msingi kabebe affidavit mengine mbele kwa mbeleeWakuu shikamoni,
Natumai mna jumapili njema,
Nina shida moja naomba msaada wenu mnieleweshe
Vyeti vyangu vya shule jina la kati kuna initial tu mf: John P. Magufuli
Na kwenye cheti cha kuzaliwa na NIDA majina yapo full mf: John Pombe Magufuli
Kutokana na tangazo walilotoa je nahitajika kwenda na affidavit kwenye usaili hapo kesho?
Shukrani sana mkuu,Tafuta kiapo kwa usalama zaidi ila hiyo issue ilishaelezewa humu kuwa hakuna tatizo. Ila kwa kujiondolea shida zisizo na msingi kabebe affidavit mengine mbele kwa mbelee
Maswali yalikuwa mangapi na muda ni dakika ngapi mkuuWakuu, hakika Mungu n mwema mno 🙌
Imagine usiku huu nachungulia nakutana na selected for practical interview aisee nmefurahi Sana, ngoja nikapambane na huko tena.
Naamini Mungu, kama alivyonipitisha hapa, pia huko nitapita salama.
🙏
Maswali 30, dkk 40 hizi dkk zinaanzia kwenye kusoma instructionsMaswali yalikuwa mangapi na muda ni dakika ngapi mkuu
Bora uliitwaDah Kudadeki, nna usaili wa kukaa Dodoma siku nne 😂
Practical trh 6
Oral trh 9
Utumishi mtaniua, napata Wapi hy pesa ya kukaa Dodoma siku zote hizo
Trh 6 n wiki ijayo, ntaenda.Bora uliitwa
Vip ulienda mzee baba
Hivi humo ndani kwa wale wa accounts or finance wanaruhusu kuingia na calculator, pen na Saa ama unaingia bila vitendea kaziMaswali 30, dkk 40 hizi dkk zinaanzia kwenye kusoma instruction
Mh sijajua kwenye hizo kada zinazotaka hesabu.Hivi humo ndani kwa wale wa accounts or finance wanaruhusu kuingia na calculator, pen na Saa ama unaingia bila vitendea kazi
Maswali ni ya kuchgua huwa ni magumu ile Mbaya🤣🤣Wakuu naomba kuuliza hizi nafasi za Finance Management Officer kutoka kwa msajili wa hazina. Watu wanatakiwa kusoma issue gani au kuna group lolote. Maana kuna watu wanasema kutakua kuna usaili hadi wa practical.
Calculator, pen inaruhsusiwaHivi humo ndani kwa wale wa accounts or finance wanaruhusu kuingia na calculator, pen na Saa ama unaingia bila vitendea kazi