HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Naunga Mkono Hoja
 
Naunga hoja mkono huu 😜
 
Matokeo yapatikane papo hapo, hoja zote ni za muhimu.
 
Mfumo wa ujanja ujanja mnoo ni kama ccm nida na tume ya uchaguzi Tanzania mifumo kuwa kitu kimoko.. 😄 😄
 
Mikeka leo imetoka mfulululizo kweli hii October to Remember admn kaanza mwezi kwa kasi kubwa sana
 
Mwenye majina ya waliopita Oral ya TPA atupie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…