Kazi wamezirepost we kaangalie tuombe upya!Naona vijana baada ya kulamba asali uzi unazidi kudorora shuhuda haziletwi tena humu kulikoni. Mikeka imekuwa mingi kiasi kwamba mnaishiwa pawa au hali ikoje huko
Huyu ni wakitambo Tena mwalimu maana ndo huko kuna matahira wengi kupita kada zote hata wapishi wanajitambuaJamani huenda ni graduate mpya muelekezeni vizuri tu😅
Nasikia ni Siasa hizo. Hata kama ni traffic overload ndiyo siku 4?Haifunguki since day 1 kwangu nahisi ni hiyo traffic overload… Website haijasanifishwa kutumika na watu wengi kwa wakati mmoja!
Kwahyo wasiombe?Nasikia ni Siasa hizo. Hata kama ni traffic overload ndiyo siku 4?
Yani nimecheka mpaka nimepaliwa😂Huyu ni wakitambo Tena mwalimu maana ndo huko kuna matahira wengi kupita kada zote hata wapishi wanajitambua
Mm mwenyw mwalimu lkn hawa ndugu zetu sijui tatizo ni nini
Tafuta namna nyingine ya kulog-in mi nmetumia Bingni Siasa hizo. Hata kama ni traffic overload ndiyo siku 4?
Mbona wanasema vimishahara ni vidogo sana. Nyinyi mnasumbuka navyo vya ninihivi qualificafions za TGS E ni zipi?
Unashauri nini kifanyike?Zimepita wiki mbili tangu nimefanya oral, ila mpaka sasa hawajaandika received kwenye akaunti yangu.
Jibu lako limekaa ki Chat GTPSijajua
Katika screenshot hii, mtu ameuliza:
"hivi qualifications za TGS E ni zipi?"
Kisha mtu mwingine amejibu kwa kifupi: "Degree".
Jibu hilo ni sahihi lakini si kamili.
TGS E (Tanzania Government Scale - E) ni ngazi ya mishahara serikalini ambayo mara nyingi huhusishwa na:
- Waajiriwa wapya wenye Shahada ya Kwanza (Bachelor’s Degree) kutoka vyuo vinavyotambuliwa.
- Awe amesajiliwa kwenye bodi husika (kwa taaluma zinazohitaji usajili).
- Awe amehitimu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) au ana cheti cha exemption.
- Mara nyingi huhitaji umri usiozidi miaka 45 kwa waombaji wapya serikalini.
Hitimisho:
Jibu la “Degree” ni sahihi lakini limekosa maelezo ya nyongeza kama vile usajili wa kitaaluma, cheti cha JKT, na masharti mengine yanayohusiana na ajira serikalini.
Wewe unamuona mtu wa Kuandamana humu ?Vijana ajira zilizo Mwagwa huko utumishi ni kufuru. Mtaamua sasa, Mtume maombi ndo muandamane au Muandamane ndo mtume 😅
Dume la Dsm unaogopa kutekwaHapa hupat wa kumteka jipange upya
Wewe ni mshenzi sana. Unawezaje kukosa heshima kwa walimu wako.Huyu ni wakitambo Tena mwalimu maana ndo huko kuna matahira wengi kupita kada zote hata wapishi wanajitambua
Mm mwenyw mwalimu lkn hawa ndugu zetu sijui tatizo ni nini
Acha kupenda mambo ya kusikia sikia. Tafuta mwenyewe ujue ukweli wa mambo.Nasikia ni Siasa hizo. Hata kama ni traffic overload ndiyo siku 4?
Ila kwa mhitimu wa Shahada inapendeza ukiandika barua kwa lugha ya Kiingereza. Mimi binafsi sijawahi kuandika barua ya kuomba kazi kwa Kiswahili. Japo barua ya kupata Kazi niliandikiwa kwa Kiswahili.Ndugu Titus3652 naomba kukujibu, barua unaandika kwa kiswahili Au kiingereza chaguo ni lako pia usome maelekezo kule mwishoni utyaona mwaya, sampo ya barua ya kazi gani unaomba?
Angalia sample hizi, anuani kasome kwenye tangazo ipo..
Usiwatete walimu ni kada ya wapumbavu pro max hasa kwa Tanzania lkn uko ulaya na nchi nyingne walimu ni watu wenye heshima sanaWewe ni mshenzi sana. Unawezaje kukosa heshima kwa walimu wako.
AiseeUsiwatete walimu ni kada ya wapumbavu pro max hasa kwa Tanzania lkn uko ulaya na nchi nyingne walimu ni watu wenye heshima sana
Uliandikiwa? Anyways kilaIla kwa mhitimu wa Shahada inapendeza ukiandika barua kwa lugha ya Kiingereza. Mimi binafsi sijawahi kuandika barua ya kuomba kazi kwa Kiswahili. Japo barua ya kupata Kazi niliandikiwa kwa Kiswahili.
Kitu pekee ambacho nilikuwa naandika kwa mkono ni saini peke yake.Uliandikiwa? Anyways kila
Mtu na mtazamo wake mi huwa naandiKa lugha zote, itategemea na tangazo litakavyokuja! kuna wengine wanasema bora ya mkono kuliko kutype!