HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mkuu duration ya mafunzo ( paramilitary training) ni kwa muda gani?
 
Uliandikiwa? Anyways kila
Mtu na mtazamo wake mi huwa naandiKa lugha zote, itategemea na tangazo litakavyokuja! kuna wengine wanasema bora ya mkono kuliko kutype!

Ya mkono kuliko kutype ni uongo huo.
Kwanza unaonekana hujielewi
 
Majority ya waliopata kazi za TRA mwaka huu wapo mtaani na wanakula mshahara pasipo kupangiwa sehemu yoyote ya kazi, kuna kijana ana miezi mitatu sasa jirani yangu yupo tu nyumbani na mshahara unaingia, wanasema wanasubiria kupangiwa vituo, inawezekana zile posts pia ni geresha?
 
Vijana nawashauri muache kutumika vibaya. Vilevile si kila habari hasi kuhusu serikali unaichukua kama ilivyo. Jitahidi kufanya mwenyewe uchunguzi wa mambo kuliko kumtegemea Mange.
 
Vijana nawashauri muache kutumika vibaya. Vilevile si kila habari hasi kuhusu serikali unaichukua kama ilivyo. Jitahidi kufanya mwenyewe uchunguzi wa mambo kuliko

Vijana nawashauri muache kutumika vibaya. Vilevile si kila habari hasi kuhusu serikali unaichukua kama ilivyo. Jitahidi kufanya mwenyewe uchunguzi wa mambo kuliko kumtegemea Mange.
Sawa msemaji mkuu wa serikali
 
Utumishi wanazingua kweli kweli kazi kufanyosha interviews lkn kutoa matokea aahhhh

Wanalundika tu watu database
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…