HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Call for interview nyingi, ila Placement 🤣🤣
Wanaita vijana mithili ya tembo ila placement sisimizi, hawa jamaa wamekuwa wachumia matumbo tu wanajiwazia hao tu kulipana maposho unakuta ajira hizo hizo mwajiri huyohuyo wanafanyisha watu interview mara mbilimbili bila placement ata moja sasa unajiuliza unakosa majibu.
Na aibu hawana kuwasumbua watoto wa wachimba chumvi kwa ajira zao hewa
 
Bila shaka ww ni mwalimu
 
Mi mwenyewe October nimefanya oral na majibu sijapata tena leo naona tangazo la kazi kada hiyo hiyo aiseee kazi ipo
Maana yake hamkukizi vigezo wanatafuta wengine😆(joke mkuu)
 
Hii nchi Vijana wanachezewa sana. Kuna Pdf utumishi wanayo Wakiona GenZ wanataka kukinukisha wanapost tu.
Eti Nafasa za Kazi pdf inapage almost 200 .Huu ujinga Huyu mtoto wa Kikwete angeachananao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…