HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Wakuu hapo hiyo received ya human resources officer niliomba kwa ku edit course mimi nimesoma public administration lkn ilikua inagoma kuomba. Je nauliza nitaitwa usaili nianze kujiandaa au nipige chini tu
Mbaga Jr
Kwani kwenye tangazo hukusoma requirements. Kama Pa ilikuwepo endelea kujiandaa. Kama haikuwepo usijisumbue
 
Kwani kwenye tangazo hukusoma requirements. Kama Pa ilikuwepo endelea kujiandaa. Kama haikuwepo usijisumbue
Kozi iliyokuepo ni public administration and management not public administration but miaka yote PUBLIC ADMINISTRATION lazima iwepo na isivyo kawaida watu wa HRM wanaomba kazi za utawala wakati utawala atuwez kuomba za HRM
 
Wakuu hapo hiyo received ya human resources officer niliomba kwa ku edit course mimi nimesoma public administration lkn ilikua inagoma kuomba. Je nauliza nitaitwa usaili nianze kujiandaa au nipige chini tu
Mbaga Jr
Niliwahi kufanya hv baada ya kuona kazi inaendana na nilichosomea japokuwa nilichosomea haikuwepo Bali kuendana tuu, wakanila kichwa.
 
Kozi iliyokuepo ni public administration and management not public administration but miaka yote PUBLIC ADMINISTRATION lazima iwepo na isivyo kawaida watu wa HRM wanaomba kazi za utawala wakati utawala atuwez kuomba za HRM
The way utumishi wanavyojua kuzingua, hii wanaweza kukukataa
 
Ww jiandae kwa lolote
Sasa ntakuwa napoteza muda tu mkuu bora nikomae na zinazonihusu direct zaid hizo HRM naona Public Administration wametutoa kabisa hata mahakama atujaitwa tumeliwa vichwa
 
Hivi wakuu kama Majina ya form 4 mfano (John M. Doe), lakini yakabadilishwa na deedpoll yakawa John Doe Michael (Notice M imekuja mwisho na kuwa kwa kirefu). Na ndio Jina lililopo kwenye Cheti cha Diploma na Kwenye Ajira serikalini. Nimeenda kujiendeleza Degree, muda wa registration wajina yakavutwa ya form 4, nimeuliza admission wanasema wenyewe wanavuta ya form 4 na hamna shida.

Lakini mimi bado sina amani. Hii imekaaje wakuu? Sheria inasemaje na mtu aliebadili jina kisheria?.
 
Kila la kheri waalimu na kada nyengine kwenye usaili wenu hapo kesho Mungu akanyooshe mkono kwa kila mmoja wenu mkafaulu. Tuusifu ukuu wake AMEN
 
Imeisha hiyo mkuu watakuita kama hawaelewi elimu ya form four ndio elim mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…