HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Twende tukalime mashamba ya serikali mkuu😆 na sijui wanalipa shingapi hizi kazi ngumu😅
Kuna PDF uko hujajiona? Mkuu mm sio zana za kilimo mm mwili wangu wa mapenz tu, kulima wawatafute wasukuma na wanyakyusa wao kufanya kaz ngumu kwao ni sifa
 
Kuna PDF uko hujajiona? Mkuu mm sio zana za kilimo mm mwili wangu wa mapenz tu, kulima wawatafute wasukuma na wanyakyusa wao kufanya kaz ngumu kwao ni sifa
Nijione nimemfanyia nini mimi admin😂 dah sawa acha sie wasukuma twende kulima 🚶🏽‍♀️🚶🏽‍♀️
 
Maybe walikuwa kwenye database
 
Nchi nzito hii mkuu.
NZITO SANA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…