HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
JAMANI MIMI KAMA NYAUBIKRA NASEMA HIVIIIIII......

NIMELAMBA ASALI WAKUUU

πŸ€ΈπŸ™πŸ₯³πŸ₯³πŸ₯³πŸ₯³
Ngoja narudi mana kila mda naingia portal kukagua kama ni kweli au vipi au ni michezo tu😊😊😊😊
 
JAMANI MIMI KAMA NYAUBIKRA NASEMA HIVIIIIII......

NIMELAMBA ASALI WAKUUU

πŸ€ΈπŸ™πŸ₯³πŸ₯³πŸ₯³πŸ₯³
Ngoja narudi mana kila mda naingia portal kukagua kama ni kweli au vipi au ni michezo tu😊😊😊😊
Hongera sana Mkuu
 
JAMANI MIMI KAMA NYAUBIKRA NASEMA HIVIIIIII......

NIMELAMBA ASALI WAKUUU

πŸ€ΈπŸ™πŸ₯³πŸ₯³πŸ₯³πŸ₯³
Ngoja narudi mana kila mda naingia portal kukagua kama ni kweli au vipi au ni michezo tu😊😊😊😊

Hongera sana mkuu, Nenda kalijenge Taifa huku ukilamba ASALI 😁
 
JAMANI MIMI KAMA NYAUBIKRA NASEMA HIVIIIIII......

NIMELAMBA ASALI WAKUUU

πŸ€ΈπŸ™πŸ₯³πŸ₯³πŸ₯³πŸ₯³
Ngoja narudi mana kila mda naingia portal kukagua kama ni kweli au vipi au ni michezo tu😊😊😊😊
Hongera sana!
 
Hyo bikra uilinde huko uendako
 
Hatimae na Mimi pia nmelambishwa asali radar inasoma tabora,😎😎😁😁,
Mnaosubiri msikate tamaa hata siku moja,mnaojipanga kwa interview nawatakia kila la kheri,na mnaosoma nawatakia masomo mema, ipo siku na wewe utakuja kuandika nilichokiandika hapa😎😎✊✊✊πŸ₯°
 
Hongera sana Mkuu.
Kaitumikie Vyema Jamhuri Ya Muungano.
 
Karibu kulitumikia taifa
 
Noma sana Tabora home land yangu hiyo.

Hongera sana mkuu.
Umeniongezea shauku ya kuomba niitwe kwenye usaili maana profile imejaa received tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…