Masai wa Town
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 7,009
- 25,406
God is good. Kama amejibu maombi yangu, atajibu ya wengine piaJamani namm nilifanya hii tarehe nimekaa roho juu juu😫
Amen to that🙏🏽God is good. Kama amejibu maombi yangu, atajibu ya wengine pia
Nani kasema zimeisha?Naona Pdf za placement zimeisha Sasa waliopata hongereni sana na tuliokosa tusikate tamaa kujaribu Tena na Tena
Umejuaje kuwa zimeisha?Naona Pdf za placement zimeisha Sasa waliopata hongereni sana na tuliokosa tusikate tamaa kujaribu Tena na Tena
Kada ipi hiyo?Kwahiyo zile ajira za tarehe 16 october tuliiomba ni kazi bure? Walisema fake kwahiyo hatutakuwa shortlisted zipo kama mapambo tu?
MDA’s&LGA’sKada ipi hiyo?
Kama ni za afya kuna watu wameitwa na wanaendelea kuitwa.MDA’s&LGA’s
Hapana sio za afya pekee, hizi ni zile zilitoka wiki ya uchaguzi nahisi ulizisikia kila kona ilikuwa ni kelele..Kama ni za afya kuna watu wameitwa na wanaendelea kuitwa.
Ajira ni geniune.
Ajira zote ni genuine. Acha kukatishwa tamaa, yaani psrs watangaze kitu fake halafu iweje?Hapana sio za afya pekee, hizi ni zile zilitoka wiki ya uchaguzi nahisi ulizisikia kila kona ilikuwa ni kelele..
Hapana sio za afya pekee, hizi ni zile zilitoka wiki ya uchaguzi nahisi ulizisikia kila kona ilikuwa ni kelele..
Sawa acha tusubiri!Ajira zote ni genuine. Acha kukatishwa tamaa, yaani psrs watangaze kitu fake halafu iweje?
Duhh nile kitabu sijui usaili ni mwakani au lini😂 oral tu nishapandishwa sukari mara 3 liwalo na liwe😤Kuna baadhi ya kada wameanza kuitwa, so wewe endelea kula kitabu
Duhh nile kitabu sijui usaili ni mwakani au lini😂 oral tu nishapandishwa sukari mara 3 liwalo na liwe😤
Nimefungua tuishen Kwaajir ya wasailiwa utumishiDuhh nile kitabu sijui usaili ni mwakani au lini😂 oral tu nishapandishwa sukari mara 3 liwalo na liwe😤
Duhh uko vzr, binafsi sina huo moyo maisha yangu yote ya shule mpaka chuo nasoma mtihani ukifika😒Hahah inategemea na strategies zako.
Mimi nilikua nikishabandika barua tu, naanza kusoma 😁.
By the time nakua shortlisted, nilishamaliza kujiandaa.
Weka link tuwnze kulipia🤣Nimefungua tuishen Kwaajir ya wasailiwa utumishi
Nafundisha physically maana natumia smart kitochWeka link tuwnze kulipia🤣
Duhh uko vzr, binafsi sina huo moyo maisha yangu yote ya shule mpaka chuo nasoma mtihani ukifika😒