HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Chuo ushindani na mtu, kwenye ajira unashindana na watu tena ambao huwajui kabsa na weng wamepigiga wanasoma kama umbwaaaa maisha yawe nafuu
Na masikini tunakuwaga na akili sana😂😂😂 ila uku kupigika ki-mbwa mpaka tuseme🙌🏾
 
Naona halmshauri zimeanza kutoa shukrani huko za watumishi wapya hivyo hii inayoonesha Tamati ya pdf ..

Wale tuliokosa tusikate tamaa tujipange na upya tutatoboa tu siku Moja ..
 
Naona halmshauri zimeanza kutoa shukrani huko za watumishi wapya hivyo hii inayoonesha Tamati ya pdf ..

Wale tuliokosa tusikate tamaa tujipange na upya tutatoboa tu siku Moja ..
Psrs hawatabiriki kabisa . Kuanzia kwenye adverts, interviews, mpk pdf.
 
Kwa maana yake sisi tuliobaki kwenye data base tumefeli🙁
Kwa kweli nashindwa nijibuje maana hata namna ya kujua kama upo database au laah bado ni Siri Yao utumishi ..

Hivyo unaweza kuamini vile utakavyoamini japo taarifa niliyoiandika hapo bado ni mtazamo wangu siyo kwamba ndiyo sahihi kuwa P.D.F zimeisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…