HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Dahh inasikitisha unakaa mwaka mzima kusubiri kuitwa afu hola!🥺
 
Wazoefu wa PSRS , hivi ukiachan na vyeti vya kitaaluma kwenye kuripoti kitu gan kingne kinahitajika kuwa nacho cha muhimu
 
Naanza kukuelewa mkuu
Ndio hivyo watu wengi wanataka vitu vya uhakika. Unaweza kulipwa hela nyingi lakini ukawa una ishi kwa stress .. pia kazi za serikalini hazibani sana ukilinganisha na private company.
 
Wajuzi wa interview za utumishi naomba kufahamu usaili utakaofanyikia St.joseph university in Tanzania (SJUIT) LAB UB-7 ni campus gani kwa hapa dar?...Engineering campus au health campus?
 
Wakuu hakuna anayefahamu?
Huu uzi siku hizi umepunguza REPLIES kwa sababu sijui bado jamiiforum imefungiwa bado? Japokua zuio lishaisha muda wake, ingekua kabla ya kufungiwa ungeshajibiwa zamani sana, labda kuwa na subira wadau watakuja japo kwa kuchelewa😔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…