Wanajikutaga wanasimamia Sheria lkn huko huko kwenye Sheria ukiwabama hakuna majibu ya maana wanayotoaTangu uzaliwe unapimwa na kupimwa kwa mitihani! Watakuamini tu ukipata marks zao, kwanini wasichukue hao walio top ata kama hawajafika pass mark yao
Kwan average score ya PSRS ni ngapi??Hii ilikuwa ngumu kiasi gani jamani🙆🏽♀️ Lazima wata-repost upya..
Mimi pia nimelifikiria hilo.Tangu uzaliwe unapimwa na kupimwa kwa mitihani! Watakuamini tu ukipata marks zao, kwanini wasichukue hao walio top ata kama hawajafika pass mark yao
Wanakwaza sana ila ndio hawajali hata! Hivi kweli tunasoma chuo ili iweje kama siku ya interview mtu anakula msuli tembo! Kwann tusimalize six twende kwenye hizi interview ata ukifeli huwezi kulalamika maana hujasoma! Sasa mtu ana miaka 10 mtaani akafanye mtihani na kitoto cha mwaka jana watakuwa sawa? Wanazingua.. hiyo data base ishakuwa story mtu haelewi kama kabaki au la..Wanajikutaga wanasimamia Sheria lkn huko huko kwenye Sheria ukiwabama hakuna majibu ya maana wanayotoa
Hapo watakwambia Sheria za utumishi zinasema chini ya marks 50 umefeli Aya sawa turudi Tena kwenye Sheria za utumishi
Mbona zinasema mchakato inabidi uwe wa ukweli na uwazi Sasa kama ni hivyo mbona matokeo ya oral interview Huwa hamuyaweki wazi ?? Mbona issue ya database imekiwa kificho ??
Inshort ni ubabaishaji kwa kwenda mbele
50Kwan average score ya PSRS ni ngapi??
Nimewaza hapo mmoja angeipata hiyo 50 kungekuwa kuna haja ya kwenda Oral?
Hakuna!!Nimewaza hapo mmoja angeipata hiyo 50 kungekuwa kuna haja ya kwenda Oral?
Kapiga gape ila.. sema itakuwa ni ngumu hii prac kwann wote wafeli sana? Kuna written tulifanya nilipata 81, nikawa not selected😩Kmmk leo leo kazi ipo
Huyo msela aliyekuwa selected ndio kashalamba Asali mzee.
View attachment 3537750
Kada gani mkuu?Kapiga gape ila.. sema itakuwa ni ngumu hii prac kwann wote wafeli sana? Kuna written tulifanya nilipata 81, nikawa not selected😩
Social sciencesKada gani mkuu?
Asipofikisha marks za oral na yeye kinamlamba kwaiyo asibweteke ajiandae vizuri na oral tuKmmk leo leo kazi ipo
Huyo msela aliyekuwa selected ndio kashalamba Asali mzee.
View attachment 3537750
KumbeeAsipofikisha marks za oral na yeye kinamlamba kwaiyo asibweteke ajiandae vizuri na oral tu
Ndo huwaga ilivyo, chance ya kupata ni kubwa japo maandalizi yanahitajika kama kawaida, aki relax tu inakua re advertisedKumbee
Aisee hii nchi ngumu kumbe😧 kwahiyo anapiga msuli tembo kama kawa yeye V Utumishi.. uwii🙆🏽♀️Ndo huwaga ilivyo, chance ya kupata ni kubwa japo maandalizi yanahitajika kama kawaida, aki relax tu inakua re advertised
Kama kawaida aki relax tu kinamlambaAisee hii nchi ngumu kumbe😧 kwahiyo anapiga msuli tembo kama kawa yeye V Utumishi.. uwii🙆🏽♀️
Practical aisee zinaonekana tough sana, Kuna namba za viatu sana kwenye practical, utumishi kwenye practical ni balaa kabisa aisee, written nazo za online ni za moto vibaya mno hizi saili mtu inatakiwa ujiandae vilivyo kweli kweli, ukimuona mtu kwenye PDF la kuitwa kazini kapitia mambo mengi sana, ni haki yake kushangilia.
Hii paper lazima liwe gumu, hiki kitengo ni nyeti sana, ukiweka vilaza kupigwa ni nje nje