HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Oi wataalamu vipi wale waliofanya usaili ATCL bado hawajaanza kuita watu kazini, Kwa yeyote mwenye updates akuje bc
 
Au anaishi dom? Au karibu na Dom, Kwamba saiv hata kama unaishi mbali unaambiwa uende Dom kweli? 🤔
 
Au anaishi dom? Au karibu na Dom, Kwamba saiv hata kama unaishi mbali unaambiwa uende Dom kweli? 🤔
Siishi dom ila nimeshangaa kuwa kuna watu bado wanasafiri kufanya usaili, siku hizi naona kila mtu anafanya wilaya aliyopo!
 
Siishi dom ila nimeshangaa kuwa kuna watu bado wanasafiri kufanya usaili, siku hizi naona kila mtu anafanya wilaya aliyopo!
Namsemea huyo mdau anayesafiri kwenda dom unless anaishi huko ndio najiuliza why anasafiri kwenda huko na wakat saili unaenda sehem unayoishi ama karibu zaidi
 
Kama kuna uwezekano wa kufanya interview uwe unaenda tu kufanya hujui bahati yako itaangukia wapi unaweza pata maksi nyingi oral ukatupwa hata data base.

Mimi mwaka juzi ajira za EACOP nilikuwa down vibaya sana. Kuna Siku mfaransa huyo mkurugenzi wa hilo bomba alikuwa UDSM akasema waliotuma maombi ni vijana 23,000 na hapo wanahitaji watu 100 tu nikajisemea hata kama na bahati kiasi gani siwezi pata maana chance ya kukosa ilikuwa 99.999 . Ila sikuacha kuendelea na mchakato kibahati bahati nikapenya kwa hiyo wewe fanya the best upande wako mengine muachie mola.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…