HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika

Mimi nilijibu hivyo sijabadilisha chochote ingawa mwanzo nilianza kushuru Mungu na panel nzima kwa kuitwa kufanya interview
 
Yaan unamaanisha hujapita written umeenda moja kwa moja oral na practical hujawahi kufanya? Asante kwa taarifa.
Mbona inatokea hii sana Mkuu ikiwa waombaji ni wachache kwahyo inakuwa haina maana ya mchujo.ww angalia vizuri pdf za uitwa interview kuna sehemu juu watu wameitwa interview ya mchujo yan kuandika wengine wameitwa interview ya oral tu.kwahyo inatokea sana kutokana na wingi wa waombaji
 
Wapi nimekosea hapo hadi nikasitopishwa na kuuulizwa swali lingine?
Dah majamaa mnajua kukera aise kila kitu mnataka ufafanuzi mnataka kujibu ni usaili wa usalama wa taifa umekua huo Hadi unataka kujielezea sana? Watu Wana mambo yao Wana ratiba zao za kazi na nje ya kazi, mtu anataka amalize kuhoji aondoke akafanye shuhul nyingine na pia wengine hua wanataka tu kujua kama umeelewa swali.
 
Sawa.
 
Habari Wakuu?

Msaada tutani,

Ikiwa kama mtu aliweka anuani ya Mtwara wakati wa kutuma maombi lakini wito wa usaili amepokea akiwa Bukoba na uwezekano wa kurudi Mtwara kwa haraka haupo.

Akijaribu kubadili anuani ya zamni na kuweka ya sasa mfumo unakataa, je ni hatua zipi za zaida hufanyika ili kuweza kupata nafasi ya kuhudhuria usaili husika ?

Msaada kwa mwenye kujua taratibu husika.!!!
 
Safir urud mtwara mkuu
 
Wamekwambia Call Us
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…