Badili anuani ndani ya siku 7 baada ya tangazo la usaili kutokaHabari Wakuu?
Msaada tutani,
Ikiwa kama mtu aliweka anuani ya Mtwara wakati wa kutuma maombi lakini wito wa usaili amepokea akiwa Bukoba na uwezekano wa kurudi Mtwara kwa haraka haupo.
Akijaribu kubadili anuani ya zamni na kuweka ya sasa mfumo unakataa, je ni hatua zipi za zaida hufanyika ili kuweza kupata nafasi ya kuhudhuria usaili husika ?
Msaada kwa mwenye kujua taratibu husika.!!!
apo badilisha weka eneo uliopo sasa kwa sababu hata vituo vya usail bado havijapangwa na pia vituo vinapangwa siku 2 au 1 kabla ya siku ya usailiHabari Wakuu?
Msaada tutani,
Ikiwa kama mtu aliweka anuani ya Mtwara wakati wa kutuma maombi lakini wito wa usaili amepokea akiwa Bukoba na uwezekano wa kurudi Mtwara kwa haraka haupo.
Akijaribu kubadili anuani ya zamni na kuweka ya sasa mfumo unakataa, je ni hatua zipi za zaida hufanyika ili kuweza kupata nafasi ya kuhudhuria usaili husika ?
Msaada kwa mwenye kujua taratibu husika.!!!
Ume update ndani ya siku 7 ? au siku zimevuka tangu watoe majina ya usailiTumejaribu mara kadhaa kubadilisha lakini mfumo unakataa.
See the attachment 👇
Naamini wote wakikomaa bila kuchoka wote tutaibuka washindiWakuu kwema....
Naomba niwatie moyo wote ambao bado mnajitafuta .....msikate tamaa wakuu wangu naamini mnauwezo, ujuzi na nyenzo zote za kuweza kupita interview za utumishi
Jiamini, na omba sana kwa Mungu afanye njia
Pia job description yako iweke pale chatgpt na Capilot AI zikupe multiple choice ujifue
Nimeona kwemye interview nyingi za multiple choice zinacheza na challenges/ problems na solutions zake so wanakupa scenerio wewe useme utatatua vipi
Mungu awasimamie tukumbuke kila mwanadamu hutembelewa na bahati kuu japo mara moja maisha yake ...
Nakumbuka siku ya paper mtandao ulisumbua zikajisubmit ndani ya nusu saa wengine walifanya saa Zima... Basi msimamizii akapiga simu makao tukawekewa hizo nusu saa na ajabu marks nlizopata naona kabisa zlitoka kwenye Yale maswali 3 yaliyobakia ambayo skuyajaza mwanzo.
.... nilipata 92% wakakatia 91%
Nawaombea wakuu mkainuke na kulamba asali
Hongera sana mkuu. Dah! yale mapambano ya mwaka jana yalikuwa sio mchezo.Naamini wote wakikomaa bila kuchoka wote tutaibuka washindi
Na mimi sasa hivi nipo na check number kapu la Taifa linanitemea tarehe zake zikiwa tayri zile stress za kuitafuta check zimepotea kwa sasa,nahesabu tarehe tu
Mungu ni mwema Tupambane wazee bila kuchoka
Hongera sana ndugu yangu......Mungu akakusimamie kwenye majukumu yako, ulichosema ni kweli kabisa wasikate tamaa tu....Naamini wote wakikomaa bila kuchoka wote tutaibuka washindi
Na mimi sasa hivi nipo na check number kapu la Taifa linanitemea tarehe zake zikiwa tayri zile stress za kuitafuta check zimepotea kwa sasa,nahesabu tarehe tu
Mungu ni mwema Tupambane wazee bila kuchoka
Umeshapata kazi kwanza?Wakuu et kati ya TBS na GST wapi kuna salary nzuri kwa technician?
Labla kama kigezo cha elimu n kidato cha nneView attachment 3559429
Hii tuiiteje kitaalamu🫢
Acha uoga,Wakuu hivi niulize swali .umeanza interview ukaanza kushukuru then ukaanza kujielezea lile swali about yourself ukafata majina, education, experience,skills lkn wakati unataa kuingia kuelezea achievement mwenyekiti akakusitopisha akakuuliza now wafanya kazi gani? Ukamjibu akasema oky then akaruhusu uulizwe swali lingine yani lile limepita hivyo.je hii ina maana gani?
Walofanya leo usail wa history wanasema kulikuwa na maswali ya hesabu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jitu la status apa ....
Wakuu msikate Tamaa kila kitu ni possible.....
Mkaze kwenye izi interview tuwakaribishe kwenye asali ya taifa....
Kwanini usiombe kote tu mkuu kama vigezo unavyo ?Wakuu et kati ya TBS na GST wapi kuna salary nzuri kwa technician?
Wadau nikilog in kwenye account yangu ya ajira portal wananiambia password sio sahihi nikiandika forgot password wananitumia link kwenye email ila nilivyobadili mara ya kwanza ilikubali lakini nikilog in tena inasema password au email si sahihi nikienda forgot hawatumi link ila wananiambia account haipo nimejaribu kuwatafuta ict wa utumishi hawajibu email yangu nifanyeje