HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Wadau mambo vip? Kuna mdau anaenda kufanya Oral ya Trade officer 16 April 2026? Au aliyewahi kufanya oral kwa kada hiyo atupe hints.
Thanks by Msaka asali.
 
Wadau naomba kujua hivi saili za utumishi kwa kada zinazofanya practical interview na usaili wa presentation kwa matokeo ya practical interview yanajumlishwa pia kwenye oral interview?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…