HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hata Ukiwa jambazi mwenye faida kwenye familia yako utapendwa tuu hasa kama kuna wengine n wema afu kazi yao n kula kulala 😂
 
Hata Ukiwa jambazi mwenye faida kwenye familia yako utapendwa tuu hasa kama kuna wengine n wema afu kazi yao n kula kulala 😂
Haswa haswa na Mama Mzazi daah yule Maza sikutarajia km atamsifia mwanae kula ndumu kiasi kile anakwambia aakishavuta bangi zake ni anafanya kazi yaan yule mtoto ndicho ninachompendea tu, duuh
 
Jana nimevuta nusu kabla ya kuangalia matokeo😵‍💫
Hapo upo above the law sasa leo inabidi umelizie nusu nyingine ili ujenge heshima, ila usisahau nimekwambia ukifika Dom ukawaambie masuala ya kujaziana hesabu hautaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…