Tayari tumewehuka mkuusasa hivi majobless ni mwendo wa kuongea wenyewe utazani vichaa..
aisee mirembe itabidi waongeze vitandaTayari tumewehuka mkuu
Mimi nishapata plan b mtajua nyinyi๐aisee mirembe itabidi waongeze vitanda
takukuru wametoa tangazo kama uko na age chini ya 29 kajaribu bahati yako wengine tushastaafu..Mimi nishapata plan b mtajua nyinyi๐
Dahh naelekea menopause haitanifaa hiyo! Unaomba kazi mpaka unazeeka hupati!takukuru wametoa tangazo kama uko na age chini ya 29 kajaribu bahati yako wengine tushastaafu..
๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ yaani mdogo wako anapata kazi we unaachwa kwenye mataa utazani wao hawatazeekaDahh naelekea menopause haitanifaa hiyo! Unaomba kazi mpaka unazeeka hupati!
Mbaya zaidi hanaga hata akili vizuri๐ซInaumiza sana!๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ yaani mdogo wako anapata kazi we unaachwa kwenye mataa utazani wao hawatazeeka
Uache kula pesa za watu ๐Sijapendaa ๐
Kwa mashost wako huna lishangazi linalotaka kukunwa vzr uniunganishane nae? ๐Mimi nishapata plan b mtajua nyinyi๐
Sijala bwana๐Uache kula pesa za watu ๐
Labda lizee hawa nilionao bado wanahudumiwa na mkuno juu๐Kwa mashost wako huna lishangazi linalotaka kukunwa vzr uniunganishane nae? ๐
Hata hilo lizee fresh tuu, stage niliyofikia Naweza hata kumtoa kafara mtu ili nitoboeLabda lizee hawa nilionao bado wanahudumiwa na mkuno juu๐
Ukiwa mwanamke kuna namna utakula pesa ya mwanaume automatically ๐Sijala bwana๐
Nimecheka mbwa wewe๐๐ usifikie huko bana si upige mishe za hapa na pale kwanza nawewe hiyo laki7 ndio ikutoleshe macho๐Hata hilo lizee fresh tuu, stage niliyofikia Naweza hata kumtoa kafara mtu ili nitoboe
Umenikubuka kuna 500 nimepata jana, wasiwasi wa matokeo sina ๐Ukiwa mwanamke kuna namna utakula pesa ya mwanaume automatically ๐
500 ya voda songesha au ๐Umenikubuka kuna 500 nimepata jana, wasiwasi wa matokeo sina ๐
Eh laki 7 ipi tena jamani, kumbe nna pesa na sijui ๐Nimecheka mbwa wewe๐๐ usifikie huko bana si upige mishe za hapa na pale kwanza nawewe hiyo laki7 ndio ikutoleshe macho๐
We mtoto 500k mi miatano napeleka wapi๐500 ya voda songesha au ๐
Sinunawaza laki7 ya serekale๐Eh laki 7 ipi tena jamani, kumbe nna pesa na sijui ๐