HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Ishu n uhakika wa kuipata hy 700k na mkataba wa uhakika
sahihi, ila hiyo mindset itoe tu kuna watu wako private miaka nendarudi na wanakula pesa ndefu! Mtu analipwa mil 3-5 kwa mwezi aache kazi kisa uhakika wa laki 7πŸ€¦πŸ½β€β™€οΈ
 
Ila private πŸ™Œ
Bc tuu ila kuna private zingine zinajitambua
 
sahihi, ila hiyo mindset itoe tu kuna watu wako private miaka nendarudi na wanakula pesa ndefu! Mtu analipwa mil 3-5 kwa mwezi aache kazi kisa uhakika wa laki 7πŸ€¦πŸ½β€β™€οΈ

Private nyingi saivi zinatoa permanent contracts, Employee resignation rate ni kubwa sana saivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…