Siwaogopi mm mamaeee! Wamenipandisha sukari sana hao jamaa! Nawachukia sana! Waache kuniletea umri wa Arun mimi sina ukoo nae!Seran kama kuna ujumbe wa kuufikisha kwa hawa wadau, nitumie PM.
Nitaanza na hilo la kuletewa maswali ya hesabu.
Wamesema hilo la hesabu wamelipokea,Siwaogopi mm mamaeee! Wamenipandisha sukari sana hao jamaa! Nawachukia sana! Waache kuniletea umri wa Arun mimi sina ukoo nae!
Waanike matokeo ya data base tujue tunazika au tunasafirisha!Wamesema hilo la hesabu wamelipokea,
Wanauliza kama kuna changamoto nyingine tofauti na hiyo.
Waanike matokeo ya data base tujue tunazika au tunasafirisha
Sawa, ila kama wanatoa placement nikifikaNimepita hapo Ofisi kwao, nimewajulisha concern yako, wanasema kesho nikulete watuoneshe hayo matokeo ya database. Mimi nitakuwa mwenye wako hapa Makao makuu.
Ukija tutaongea kuhusu hilo, ila on a serious note nijulishe mapema ukiwa njianiSawa, ila kama wanatoa placement nikifika
Say no more..Ukija tutaongea kuhusu hilo, ila on a serious note nijulishe mapema ukiwa njiani
Mam mchungaji pole sanaSiwaogopi mm mamaeee! Wamenipandisha sukari sana hao jamaa! Nawachukia sana! Waache kuniletea umri wa Arun mimi sina ukoo nae!
hapa kilichobaki kila mtu avae suti akaripoti kazini ofisi anayoipenda kilazima..Kwaio nchi nzima Kuna nafasi ya kazi Moja tu ya serikall tena ya udereva . Kumamaye
Kesho ngoja niende BOT mapemahapa kilichobaki kila mtu avae suti akaripoti kazini ofisi anayoipenda kilazima..
Twende ππhapa kilichobaki kila mtu avae suti akaripoti kazini ofisi anayoipenda kilazima..
Hiv ofisi zao kule UDOM wameshazihamisha?Seran kama kuna ujumbe wa kuufikisha kwa hawa wadau, nitumie PM.
Nitaanza na hilo la kuletewa maswali ya hesabu.
Hahaha sasa hii inabidi ukawaambie palepale Dom kwenye Jengo lao tena unasema ukishaingia mule ndani unaelekea kwa KatibuSiwaogopi mm mamaeee!
Punguza hasira hahahaWaanike matokeo ya data base tujue tunazika au tunasafirisha!
HahahaSawa, ila kama wanatoa placement nikifika