AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Ushajiona uko huko kwenye database kiinimacho au unajipa matumaini yasiyo na sababu? Wewe ukishapiga Oral majina yakatoka placements haupo basi fanya shughuli zingine subiria awamu nyingine forget about database, database ni kuwahimiza tu msikate tamaa ni saikolojia nothing else. Nimeamua kukupa ukweli mchungu.Hivi ikitokea umefanya oral lets say Internal Auditor II placement imetoka jina lako haliko kwenye first round je ukitokea Database utatokea katika kada hiyo hiyo au wanaweza kukupeleka kada nyingine ili mradi uwe na qualifications??
Ingia kwenye database unaweza ukawa upo humo na haujijui ila hakunaga kitu kinaitwa database. Forget about database.Hakuna wakati mgumu kama kusubiria pdf la kuitwa kazini aisee kila pdf likitoka macho kodo
Hahahahapa kilichobaki kila mtu avae suti akaripoti kazini ofisi anayoipenda kilazima..
Zipo Tambukareli km unapafahamu kule UDOM walishahama tangu mwaka jana.Hiv ofisi zao kule UDOM wameshazihamisha?
Frshy tu kwani vepe?Hahaha sasa hii inabidi ukawaambie palepale Dom kwenye Jengo lao tena unasema ukishaingia mule ndani unaelekea kwa Katibu
Hii kitu nlishawahi kuisema Humu watu wakanijia juu japokuwa n kweli database Ipo na inafanya kazi.Ushajiona uko huko kwenye database kiinimacho au unajipa matumaini yasiyo na sababu? Wewe ukishapiga Oral majina yakatoka placements haupo basi fanya shughuli zingine subiria awamu nyingine forget about database, database ni kuwahimiza tu msikate tamaa ni saikolojia nothing else. Nimeamua kukupa ukweli mchungu.
Hakuna kitu kinaitwa database msipumbazwe akili. Wewe umekaa unasubiria database basi nikuhakikishie utasubiri sana database na hutokaa uione.Hii kitu nlishawahi kuisema Humu watu wakanijia juu japokuwa n kweli database Ipo na inafanya kazi.
Mm mwaka jana Septemba tumefanya interview, December wakatangaza Hizo Hizo nafasi tena, January wakatoa placement ya wale waliofaulu interview ya September Bila kuongeza idadi pamoja na kwamba wametangaza nafasi zingine.
Na hii sio mara ya kwanza kuona hii.
Placement ikitoka na jina lako hulioni, ww ona ni ulifeli ulipata 0, mambo ya kusema nipo database ni kujipa stress Na imani isiyokuwa na kichwa wala miguu.
Ni good na leo nimekushika tenaFrshy tu kwani vepe?
Wamenishika wapiNi good na leo nimekushika tena
Kwahiyo nina O🥺Hii kitu nlishawahi kuisema Humu watu wakanijia juu japokuwa n kweli database Ipo na inafanya kazi.
Mm mwaka jana Septemba tumefanya interview, December wakatangaza Hizo Hizo nafasi tena, January wakatoa placement ya wale waliofaulu interview ya September Bila kuongeza idadi pamoja na kwamba wametangaza nafasi zingine.
Na hii sio mara ya kwanza kuona hii.
Placement ikitoka na jina lako hulioni, ww ona ni ulifeli ulipata 0, mambo ya kusema nipo database ni kujipa stress Na imani isiyokuwa na kichwa wala miguu.
Ww hata usiumize kichwa, placement ikitoka na haupo, bc achana na kuwaza database, ww Kwenye Akili yako waza umepata 0 tuuKwahiyo nina O🥺
Hakuna muda maalumu wa pdf la kuitwa kazini kutoka.Niulize swali nielewe vizuri.mfano taasisi A imetangaza job kada 5 na kada 4 zimefanya oral mwezi wa 3 lakini kada moja imepangiwa kufanya interview mwezi wa 6.je hawa ambao wamefanya mwezi 3 je pdf la kuitwa job halitatoka hadi wamsubirie huyu afanye au wanatoa tu? Maana ni taasisi moja na ni siku moja zimetangazwa kada zote na sijajua why kada moja hii imepangiwa interview mwezi wa 6 na pdf la interview limetoka mwezi .
Kikawaida ni mda gani?Hakuna muda maalumu wa pdf la kuitwa kazini kutoka.
Linaweza kutoka kabla au baada ya hiyo kada ya nyngn kufanya usaili.
Umeelewa nilichoandika?Kikawaida ni mda gani?
Hivi Mbaga Jr una kipara kichwani?Umeelewa nilichoandika?
Wapo karibu na mahakama kuu ya TzHiv ofisi zao kule UDOM wameshazihamisha?
Ndiyo inawezekana. Ninawafahamu watu kadhaa waliopitia mchakato huo.Hivi ikitokea umefanya oral lets say Internal Auditor II placement imetoka jina lako haliko kwenye first round je ukitokea Database utatokea katika kada hiyo hiyo au wanaweza kukupeleka kada nyingine ili mradi uwe na qualifications??