HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Data base ni really
 
Etii wakuu ivi ukifanya oral interview inachukua muda gani hadi wabadilishe kwenye account kwamba nime attend.
Maana inakaribia wiki ya tatu sasa sioni ikibadilika au ndo za Usooo
 
Etii wakuu ivi ukifanya oral interview inachukua muda gani hadi wabadilishe kwenye account kwamba nime attend.
Maana inakaribia wiki ya tatu sasa sioni ikibadilika au ndo za Usooo View attachment 3579804
Siku hio hio mkeka unabadirika wewe unataka nini uone imebadirika au uone ile download placement letter? Maana kunaweza kua watu wana mission tofauti wengine hizo wanazo kibao ila placement letter hawana hata moja na kwenye database hawajui km wamo au hawamo
 
Data base ni really
Database ni siri ya wenye siri ingekua real ungeona PDF limetoka na linaonyesha kwa uwazi kabisa kila baada ya Oral kwamba hawa hapa ndio tulionao kwenye Database ila umeona wapi uniambie hio is really wapi ulipoona hio Database unayosema?
 
Wakuu ofisi ya mkurugenzi manispaa ya kigamboni ipo maeneo gani pale kigamboni nikipitia darajani nashuka kituo gani anaejua anisaidie
 
Kudadek 6 halafu 1 ndio duuh watu mnapitia msotogoto sio mchezo wakati wengi wakigusa tu walete mwendo kuteleza tu
Hao watakuwa na ndugu na utumishi zile pepa ni shida nielekeze mkuu kama unapafahamu naenda oral kesho
 
Hao watakuwa na ndugu na utumishi zile pepa ni shida nielekeze mkuu kama unapafahamu naenda oral kesho
KIGAMBONI MUNICIPAL COUNCIL located at FARM LO No 14549, Mbwamaji Gezaulole Somangila, Dar Es Salaam Tanzania

You can contact Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni by phone using number 022 292 8468
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…