Au ndio zile gari za kwenda wilayani ukitokea temekeKIGAMBONI MUNICIPAL COUNCIL located at FARM LO No 14549, Mbwamaji Gezaulole Somangila, Dar Es Salaam Tanzania
You can contact Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni by phone using number 022 292 8468
Ukifika kituoni muulize konda au dereva anapajua atakushusha hapoAu ndio zile gari za kwenda wilayani ukitokea temeke
Ukifika kituoni muulize konda au dereva anapajua atakushusha hapoAu ndio zile gari za kwenda wilayani ukitokea temeke
Oral haina tokeo ina Selected for Placement usipoona umewekewa kidude cha kupakua Placement Letter jua huna chakoHivi wakuu, waliofanya oral tarehe 14 April tokeo lao lini?
Aisee!So hapo usipoona placement letter, wasalimie kwenu moja kwa moja?Oral haina tokeo ina Selected for Placement usipoona umewekewa kidude cha kupakua Placement Letter jua huna chako
Usipooona wewe nenda kaendelee tu kulima vitunguu hakuna namnaAisee!So hapo usipoona placement letter, wasalimie kwenu moja kwa moja?
All thebest mkuuHao watakuwa na ndugu na utumishi zile pepa ni shida nielekeze mkuu kama unapafahamu naenda oral kesho
Ipo geza uroleWakuu ofisi ya mkurugenzi manispaa ya kigamboni ipo maeneo gani pale kigamboni nikipitia darajani nashuka kituo gani anaejua anisaidie
Ahsante mkuu ni kile kituo wanachoita wilayani c ndioIpo geza urole
Ukivuka pantoni upande wa kigamboni unapnda gari za kwenda geza urole pia kuna bajaiji za kuchangia
Kila lakheri
Tunatumia vigezo hivyo kijanaLeo nimepiga oral ya cooperative officer ii, maswali yalikua matano.wale panelist walikua wanataka umention majibu tu hawataki story nyingi,swali moja nadhani nililijibu tofauti kabisa na majibu yanayotakiwa.ntatoboa kweli,na hawa jamaa huwa wanaangalia vigezo gani kutoa marks zao?
Leo nimepiga oral ya cooperative officer ii, maswali yalikua matano.wale panelist walikua wanataka umention majibu tu hawataki story nyingi,swali moja nadhani nililijibu tofauti kabisa na majibu yanayotakiwa.ntatoboa kweli,na hawa jamaa huwa wanaangalia vigezo gani kutoa marks zao?
Hivi mule mtu akijibu majibu ya uongo anapata marks? Aunninsawa na yule aliye kaa kimya tuu?Hakikisha tu umejibu point zoote 5 hata kama sio sahihi
Utumishi ukipiga oral,we potezea hawana formula maalumu.Leo nimepiga oral ya cooperative officer ii, maswali yalikua matano.wale panelist walikua wanataka umention majibu tu hawataki story nyingi,swali moja nadhani nililijibu tofauti kabisa na majibu yanayotakiwa.ntatoboa kweli,na hawa jamaa huwa wanaangalia vigezo gani kutoa marks zao?
Comrade jipe moyo cha msingi umeweza kuzungumza ndani ya chumba cha usaili, kwenye usaili Panelist huwa wanazingatia vitu vingi sana.Leo nimepiga oral ya cooperative officer ii, maswali yalikua matano.wale panelist walikua wanataka umention majibu tu hawataki story nyingi,swali moja nadhani nililijibu tofauti kabisa na majibu yanayotakiwa.ntatoboa kweli,na hawa jamaa huwa wanaangalia vigezo gani kutoa marks zao?
Ukifika oral nyingi hivi tena mfululizo, zinasaidiaje kwenye kupata kazi, ikiwa sehemu fulani uli-pass sema nafasi ilikuwa moja au mbili.Wanakusaidiaje?Hakuna kukata tamaa 💪💪mapambano yaendelee
unakumbuka swali gani mkuuLeo nimepiga oral ya cooperative officer ii, maswali yalikua matano.wale panelist walikua wanataka umention majibu tu hawataki story nyingi,swali moja nadhani nililijibu tofauti kabisa na majibu yanayotakiwa.ntatoboa kweli,na hawa jamaa huwa wanaangalia vigezo gani kutoa marks zao?
Hivi mule mtu akijibu majibu ya uongo anapata marks? Aunninsawa na yule aliye kaa kimya tuu?
Yeah boss inawezekana, ila lazima ipite sign ya mwajiri wako kabla ya yote..Hivi mtu anaweza akawa ameajiriwa na bado akafanya interview za utumishi kupata kazi nyingine