Nevergive up
JF-Expert Member
- Dec 24, 2024
- 600
- 945
Bottom line
Kwa hiyo huji tena Dodoma.Mi sitaki tena!πͺ
Hivyo mambo ndivyo yalivyo huko serikalini mkuu.Mtu kaenda kureport kapeleka documents zote basi akapewa form ya hospital akapime na akapewa form 2 za kujaza details binafisi then akaambiwa aandike account ya bank alfu wakasema tushamalizana ondoka subiri simu kwanzia sasa ya kuitwa kuanza kazi.je hii ikoje? Maana imenipa kudogo mashaka
Hapo ni kuwa mvumilivu tu mkuu. Binafsi nilipigiwa simu baada ya miezi mitatu, hata nauli ya kwenda kazini muda huo sikuwa nayo.Mtu kaenda kureport kapeleka documents zote basi akapewa form ya hospital akapime na akapewa form 2 za kujaza details binafisi then akaambiwa aandike account ya bank alfu wakasema tushamalizana ondoka subiri simu kwanzia sasa ya kuitwa kuanza kazi.je hii ikoje? Maana imenipa kudogo mashaka
Nile bata na ajira sina?Kwa hiyo huji tena Dodoma.
Uje nikuoneshe chimbo jipya la kula bata maeneo ya Kisasa.
Pata kwanza check number .. ndio hizo option zitafata.Naomba ushauri hivi kati ya TBS na GST wapi kuzuri sana?
Probability inaongezeka . Mimi nilipopata oral tatu mfululizo tu . Nika relax nikajua mapema tu mkeka utatiki .. na kweli ukatiki mapema tu.Ukifika oral nyingi hivi tena mfululizo, zinasaidiaje kwenye kupata kazi, ikiwa sehemu fulani uli-pass sema nafasi ilikuwa moja au mbili.Wanakusaidiaje?
hali ni mbaya tuombeane wakuu kuna interview nyingine ya finance managment officer sido naenda kufanya niki fail na hiyo ntaacha kwanza kufanya application
Nenda kafanye kwa nafasi yako, mengine muachie MunguNimekuwa shortlisted kwenye written pale ocean road, sema nakuwa kama nakata tamaa sababu nasikia wanao voluntia ndio huwa hao hao wanapata hapo.
Huko katavi mkuu?Hapo ni kuwa mvumilivu tu mkuu. Binafsi nilipigiwa simu baada ya miezi mitatu, hata nauli ya kwenda kazini muda huo sikuwa nayo.
Nilishasahau, nikarudi kwenye kazi yangu ya kufunga madishi ya Azam na DSTV mtaani, Nashukuru waliniwekea mshahara kwenye akaunti bila mimi kujua, nilipowasiliana na wenzangu ndio nikajua nina kibunda.
Hivyo wanafanya process ya kukutafutia check namba na kukufungulia file. Relax mkuu. Karibu Katavi
Kwani si ninaku gharamia dada yangu.Nile bata na ajira sina?
Sawa mdogo wangu umeeleweka!Kwani si ninaku gharamia dada yangu.
Hofu ya nini?
Hapana mkuu utaitwq tuNina received ya toka mwaka 2024 mwezi wa nane wakuu hii sio kuwa washaitwa mimi ndio imepita hivyoo
Angalia vizuri hiyo saa hii 2026 ujue kakaNina received ya toka mwaka 2024 mwezi wa nane wakuu hii sio kuwa washaitwa mimi ndio imepita hivyoo
Amen ππ½Niliwakumbuka sana ndugu zangu EMAIL YANGU ya JF ilikua blocked π«
Ambao mnaumwa na changamoto za kibinadamu inshallah Mungu awafanyie wepesi mludi kwenye hali zenu.
Hongereni mlioitwa kazini na ambao mnasubiri placement basi nanyi Mungu yu pamoja nasi inshalllah wote tutapata. Na ambao mnasubiri kwenda kufanya interview na nyie Mungu awaongoze kwa namna yake mpate kuingia oral
Hatimae kupangiwa vituo vya kazi Amen