HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Jamani ee naomba kuuliza pia what if ukaingia oral mbili consecutive afisa tawala na katibu kamati je wanaweza kukupangia ipi na huku kozi uliosomaa ni PUBLIC ADMINISTRATION
 
Wewe ndio utanipoteza kabisaaa! Jibu ni 4
Nipe mchakato wa kupata hiyo 4.

Mm nimepata 19 kwa sababu.
Jamaa ana makopo matatu yenye jumla ya lita 24 mana kila kopo lina lita 8 hivyo n 8ร—3= 24

Akatoa Lita 5 kuwapa washikaji zake wanne
24 - 5 = 19
 
Kazi ipo ๐Ÿ˜‚
Ila c amesema ametoa lita 5 kwa wote wanne na sio lita 5 kwa kila mmoja wapo
Kipi kichina hapo?

Lita 5 kwa watu wanne jumla ni lita ngapi?

Na mwanzo zilikuwa ngapi jumla?

Na sasa zimebaki ngapi?
 
Lita 5 kwa wote, sio kila mmoja ๐Ÿ˜Ž
Hmm soma vizuri, lita tano kwa kila moja kwa usawa! Means @

Kwahiyo unagawa litre 5/4??

Letโ€™s try:

5/4=1.25

Kwa hiyo heabau rahisi ni kwamba

8x6=24

24-5= 19

Na jibu hapo halipo kwenye choices! Hii hesabu hainiingii akilini bado!
 
Hmm soma vizuri, lita tano kwa kila moja kwa usawa! Means @

Kwahiyo unagawa litre 5/4??

Letโ€™s try:

5/4=1.25

Kwa hiyo heabau rahisi ni kwamba

8x6=24

24-5= 19

Na jibu hapo halipo kwenye choices! Hii hesabu hainiingii akilini bado!
Hesabu kazi ipo ๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ