Wazee nimebutuliwa ile mbayaa ni viswali vya uptitude😀Wazee kesho naenda kuukanda mtihani wa written tunagombania post 2,, written tunaingia 104 kufanya.
Nijuacho ni kwamba nishafaulu written kabla ya mtihani. Kwahyo tarehe 12 ntakuwepo ocean road kwa ajili ya Oral.
Kila la kheli champion...Wazee nimebutuliwa ile mbayaa ni viswali vya uptitude😀
Ila Oral naenda kubabeki.
Mkuu wakuone kwa jicho la tatu ....utumishi nimewanyooshea mikono juu yaan nimefukuzia pdf mpaka mikono imeota sugu
Wapendwa tuwe na imani, kila mmoja kwa wakati wa Bwana atakutana na huu ujumbe siku moja.utumishi nimewanyooshea mikono juu yaan nimefukuzia pdf mpaka mikono imeota sugu
Pole sana mkuu🥲utumishi nimewanyooshea mikono juu yaan nimefukuzia pdf mpaka mikono imeota sugu
Sio rahisi unakomaa unakutana na mstari mwekundu juu yako!Wapendwa tuwe na imani, kila mmoja kwa wakati wa Bwana atakutana na huu ujumbe siku moja.
"Hongera
Karibuni katika Utumishi wa Umma, Watanzania wana matarajio makubwa kutoka kwenu kwa utumishi wenu, tunatarajia mtafanya kazi kwa weledi, ari na nguvu mpya na kutanguliza mbele uzalendo."
Una miaka mingapi?Sio rahisi unakomaa unakutana na mstari mwekundu juu yako!
Miaka ya nini?Una miaka mingapi?
Miaka yako kule Utumishi ina determine wewe kupewa nafasi au kunyimwa nafasi.Miaka ya nini?
Haya ni maswali ya usahili?Yapo mengi sana😅View attachment 3584932
Miaka yangu ndio nikuanikie wewe hapa? Nimesema mstari wa marks za matokeo sio umri wangu!Miaka yako kule Utumishi ina determine wewe kupewa nafasi au kunyimwa nafasi.
Una miaka mingapi?
Hapana mkuuHaya ni maswali ya usahili?
Nitumie PMMiaka yangu ndio nikuanikie wewe hapa? Nimesema mstari wa marks za matokeo sio umri wangu!
Shindwaa!! ⚔️Nitumie PM
Tuyajenge.
Mimi na wewe ni kitu kimoja.
Unanipa za ubavu ila ipo siku tu. Tutakutana mahali tugonge champagneShindwaa!! ⚔️
Nipo na wewe bega kwa bega mpaka utoke kwenye hizi ndoto!Unanipa za ubavu ila ipo siku tu. Tutakutana mahali tugonge champagne
Course ipi hiyo?Kwahiyo ndio mchukue watu 8 duhh