Dahh pole sana jamani🙁Mwanangu imagine unamfundisha kazi muajiriwa Mbaya zaidi hajui Wala hajawahi kuifanya hy kazi, na ww unajitolea hapo zaidi ya miaka mitatu, ah aisee inaumiza sana mwanangu
Hiyo ndo imenikuta mimi mkuu sitoisahau tena boss ananiambia kabisa hii job ni yako jiandae usaili na mm sasa nikisikia hilo daaah napiga job kama kichaa .alfu sasa kwenye panel ya interviewer boss naye yupo .chakushangaza anakunyima kisa Huna wa kukukingia kifua. Nimefanyiwa hivyo mara 2 na mara 2 sikuitwa kabisa interview. Na wanaopata hizo job hawajui na mimi ndo niwafundishe. Kuna siku niliamka vibaya kidogo nichome kiwanda tukose wote tuMwanangu imagine unamfundisha kazi muajiriwa Mbaya zaidi hajui Wala hajawahi kuifanya hy kazi, na ww unajitolea hapo zaidi ya miaka mitatu, ah aisee inaumiza sana mwanangu
Hii ishu inaumiza sana aisee, unaenda Dom Huna Ndugu Wala rafiki, gharama kibao afu unakuja kukatwa tuu 😭Ni kweli ila ifike mahala wawe nazo wanachosha watu! Mtu unaacha kwenda kazini unatumia magharama kwenda kufanya usaiili ambao hauwezekani! Kazi ya tutorial pia walichukua watatu tu wakati wakimaliza wengine wana wadump!
Asante bro, nazidi kupambanaMkuu amini nakwambia hapo unaandaliwa kuwa mtu fulani na Mungu.nafasi yako ni kubwa .hata ukienda huko kwenye buyu la asali hutaanza kulalamika unapona lbda hupewi safari.kwahyo mkuu hapo unaandaliwa.ila mwaka huu hauishi unapata check number
Watu wameshalalamika mno! serikalini kila mmoja anajiangalia yeye tu! Dahh..Hii ishu inaumiza sana aisee, unaenda Dom Huna Ndugu Wala rafiki, gharama kibao afu unakuja kukatwa tuu 😭
Dah ety uchome kiwanda, hapa nmekuelewa sana bro, inafika wakat unatamani uchukue Maamuzi magumu.Hiyo ndo imenikuta mimi mkuu sitoisahau tena boss ananiambia kabisa hii job ni yako jiandae usaili na mm sasa nikisikia hilo daaah napiga job kama kichaa .alfu sasa kwenye panel ya interviewer boss naye yupo .chakushangaza anakunyima kisa Huna wa kukukingia kifua. Nimefanyiwa hivyo mara 2 na mara 2 sikuitwa kabisa interview. Na wanaopata hizo job hawajui na mimi ndo niwafundishe. Kuna siku niliamka vibaya kidogo nichome kiwanda tukose wote tu
Ungekichoma tu! Watu wanapenda kujiangalia wao tu!Hiyo ndo imenikuta mimi mkuu sitoisahau tena boss ananiambia kabisa hii job ni yako jiandae usaili na mm sasa nikisikia hilo daaah napiga job kama kichaa .alfu sasa kwenye panel ya interviewer boss naye yupo .chakushangaza anakunyima kisa Huna wa kukukingia kifua. Nimefanyiwa hivyo mara 2 na mara 2 sikuitwa kabisa interview. Na wanaopata hizo job hawajui na mimi ndo niwafundishe. Kuna siku niliamka vibaya kidogo nichome kiwanda tukose wote tu
Mkose wote 😂Ungekichoma tu! Watu wanapenda kujiangalia wao tu!
Duhh ulifika mbali sana mbaga! Ujinyonge kisa kazi tu! Mimi kwakweli ni heri nirudi kwetu nikakae tu siwezi kuacha ugali ulivyo mtamu vile🫢 bora ukalime tu kuliko kuforce kazi kwa watu!Dah ety uchome kiwanda, hapa nmekuelewa sana bro, inafika wakat unatamani uchukue Maamuzi magumu.
Mm h ishu yangu ilifika wakati nawaza kujinyonga, h n seriously wakuu niliwaza nijinyonge. Mana sikuwa naona nuru kwenye maisha yangu tena
mbaya zaidi yakaanza kuibuka maneno mm nna dharau. Yn wakati nafanya kazi hayo mambo ya Mm kuwa na dharau hayakuwepo Ila wakat wa interview ndo yanaibuka 😭
Imagine interview zote mbili sikufanya kisa maneno ya watu ya uongo
Mbaya zaidi sijuani na maboss wakubwa hvy Hata boss wangu anakuwa hana kauli ya kunitetea hvy nae inabidi awe mpole kulinda kazi yake.
Washangaze Mkuu ili wajue hatima ya mwanadamu iko kwa MunguDah ety uchome kiwanda, hapa nmekuelewa sana bro, inafika wakat unatamani uchukue Maamuzi magumu.
Mm h ishu yangu ilifika wakati nawaza kujinyonga, h n seriously wakuu niliwaza nijinyonge. Mana sikuwa naona nuru kwenye maisha yangu tena
mbaya zaidi yakaanza kuibuka maneno mm nna dharau. Yn wakati nafanya kazi hayo mambo ya Mm kuwa na dharau hayakuwepo Ila wakat wa interview ndo yanaibuka 😭
Imagine interview zote mbili sikufanya kisa maneno ya watu ya uongo
Mbaya zaidi sijuani na maboss wakubwa hvy Hata boss wangu anakuwa hana kauli ya kunitetea hvy nae inabidi awe mpole kulinda kazi yake.
Eenh mi ningechoma aisee!🫢Mkose wote 😂
unafahamu wine ya St Anne?Duhh ulifika mbali sana mbaga! Ujinyonge kisa kazi tu! Mimi kwakweli ni heri nirudi kwetu nikakae tu siwezi kuacha ugali ulivyo mtamu vile🫢 bora ukalime tu kuliko kuforce kazi kwa watu!
Hiyo juice! Ndio mkuu..unafahamu wine ya St Anne?
Tell us more..Kwenye makampuni haya na viwandani kuna ukabila,uchawa,undugu,ujamaa na sasa kuna issues ya ngono ndo imeshika kasi yan hata kama una experience kubwa kiasi gani ukiona unafanya interview na mdada shituka usijiachie sana kitakulamba
Mabosi wahuni sanaTell us more..
Boss wetu ana screen kubwa sana ofisini kwake anatuchora kwa cctv anaichagulia mabinti hapo anatuma aitiwe tu anajilia ofisini na hawazi wala nini ukizingua unafukuzwa kazi!Mabosi wahuni sana
Upo sahihi seranDuhh ulifika mbali sana mbaga! Ujinyonge kisa kazi tu! Mimi kwakweli ni heri nirudi kwetu nikakae tu siwezi kuacha ugali ulivyo mtamu vile🫢 bora ukalime tu kuliko kuforce kazi kwa watu!
Mm kutokijuana na maboss wakubwa ndo iliyoniuaKwenye makampuni haya na viwandani kuna ukabila,uchawa,undugu,ujamaa na sasa kuna issues ya ngono ndo imeshika kasi yan hata kama una experience kubwa kiasi gani ukiona unafanya interview na mdada shituka usijiachie sana kitakulamba