HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mimi mwenyewe sina kwahiyo sumu zote nakuja kuziacha humu😃 uwe unatafuta alternative sio kujiwekea mawazo mabaya hayo shetani huwa anayapambania kwa mtu mpaka yatimie!
 
Kuna sister nilikuwa naye, yy pia alikuwa anafanyiwa hivyohivyo na Mungu siyo doto magari kaajiliwa mhimbili kawa afisa lishe.nikamshauli siku boss akija kuomba ushauli mpe hata kinyesi mwambie ni lishe akome tu
Ubaya ubaya kmmmkee
 
Mimi mwenyewe sina kwahiyo sumu zote nakuja kuziacha humu😃 uwe unatafuta alternative sio kujiwekea mawazo mabya hayo shetani huwa anayapambania mtu mpaka yatimie!
🤝 Nakubali
 
dah umeniinspire mkuu hongera sana mungu akutangulie
 
Kama una coster unakodisha inahitajika leo kwa siku 180k itakodishwa ndani ya miezi 6.mafuta kwetu dereva juu yako lakini tunamhudumia kila kitu.kazi ni site singida lkn gari hiyo lazima ije hapa ofisini kukaguliwa na kufungwa kingamzi na camera.kama uko tayari ilete gari
 

Usipende kijitolea ili uajiriwe, jitolee ili kupata ujuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…