HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
V

Yyeti vyako original na kitambulisho cha NIDA au mpiga kura au barua ya utambulisho toka serikali ya mtaa,mvazi kwenye written sio ishu sana ata Tshirt na jeans unavaa ,ni wewe tu😁 ,kikubwa pendeza
Hii ya leo walikataa jeans and round collar shirts for men and women open shoes not allowed.

Kanzu pia is a NO
 
Ni takriban siku 11 sasa bila PDF, Utumishi toeni PDF mara moja jobless tujue which is which ✍️🤐.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…