HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Mbwa hawa! Wanashindwa kunipa hiyo miaka michache mimi nianze kwenye kwenye usaili na mviπŸ˜’
Ukisikia kupata kazi kisa umri mkubwa ndo itakwenda kukutokea Sasa πŸ˜‚
Usije kufa bila kulamba pesa ya serikali πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…