HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hivi mtu ukiingia oral maaana yake ajira uhakika au??

Na Database ipo kweli?
Hapana ajira sio uhakika but possibility ya kupata ajira ni kubwa kwa sababu kufaulu oral ni kuanzia marks 50% ambayo jobless ukijiandaa vizuri unapata fresh na kama walikuwa wanahitaji watu 50 na wote wakachukuliwa but mnaobaki mnakaa kanzi data ambapo taasisi , halmashauri ,mamlaka na wakala mbali mbali wakihitaji mtu kutoka psrs wanachukuliwa wale waliofaulu oral na kuwekwa kanzi data .
NB.kwa ushauri tu inabidi uhudhurie sahili zote hata kama wanahitajika watu 2 huwezi jua unaweza ukatokea kwenye tundu la kanzi data.Naomba kuwasilisha
 
Sasa kama walikuwa na watu kwenye database kwanini wakatangaza. Na mara nyingi wanasema post za academicians hazina database!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…