HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hivi yale makaratasi wanayokuwaga nayo panelist huwa wanajaza vitu gani?
Maana siku nafanyiwa usaili niliona kuna karatasi nadhani ya candidate aliyekuwa amenitangulia ilikua imeandikwa 16,37 na 20 sasa nikashindwa kuelewa ni marks za kitu gani
 
Kwa hiyo hapo huelewi nini ndugu sii maksi alizopata based na mgawanyo wa kila kipengele e.g mavazi, confidence, kujieleza etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…