HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Siku nyengine tena leo. Ya kuishi kwa matumaini na imani bado siku 6 utimie mwezi bila pdf. Hivi hiv tukiwa na iman kubwa na Mungu bila kupungukiwa hata chembe. Pdf zitamwagika watu tutafurahi na kuimba na kumshukuru Mungu.

#bila kuchoka
Amen
 
hivi izo ajira za kujitolea ndo unaaply vp sasa maana kwenye vacancies hamna kitu
 
Wanefutilia mbali kabisa ila UTUMISHI hahaha kwa msongamano huu wa oral na interview pdf zitatoka za kumwaga sana maana toka interview za April 13 na 17 no pdf
Hiyo pdf ilikuwaje ni placement au kuitwa kwenye usahili....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…