HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Sasa unamwachia nani pambano lako mkuu. Twende hakuna kulud nyuma no retreat no surrender mpka kieleweke. Lkn pia ni vitu gani vya ajabu vilivyokukuta ndugu Seran
Imagine nimefanya interview 5! Kulikuwa kuna kazi inanibana, jmos sikuweza kupewa ruhusa miezi yote miwili ikanibidi niidrop hiyo kazi ili nipambane nao perpendicular, guess whatโ€ฆ.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ