HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Ualimu sio Kaz ya ndoto zangu, natamani niwe academician au research assistant hata tutorial assistant kwakuanzia, kwahyo mwakan ntakua na sifa za kuomba
Ooh kwahiyo unafanya kazi huku unasoma? Usiache tu kazi maana utumishi hawachekeshi! Mimi niliomba assistant mwaka jana wakachukua watu wa3 tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…