El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 3,082
- 6,530
wanajua wakitoa kwenye kada zetu tutatoboa wameanza kututolea hesabu za kucalculate miaka ya watuKuna siku nimeenda zangu na hangover tu maana siku ya kwanza nilikomaa macalculations kibao nakuta hola!
Ni imani tu,Wanasema eti ni dalili njema
Kwani inaweza itokee selected for interview kwenye website na app kusiwe??Wanasema eti ni dalili njema
😄 🤣 😂 😆 sasa mm nilikueko nimeona leo linaulizwa hebu ni tag kwenye hiyo sehem mkuu nikasomeNilishamaliza kuelezea hili.
Tutapiga mia kwa mia aisee wanaogopawanajua wakitoa kwenye kada zetu tutatoboa wameanza kututolea hesabu za kucalculate miaka ya watu
wee nenda kapoteze nauli yako.. 🤣 🤣 🤣😄 🤣 😂 😆 sasa mm nilikueko nimeona leo linaulizwa hebu ni tag kwenye hiyo sehem mkuu nikasome
Inasemekana hivyoKwani inaweza itokee selected for interview kwenye website na app kusiwe??
Ndio si baada ya oral wana update nazani inachukua week moja ku update kama uli attend oral interviewsasa ukiwa selected both si unatakiwa uende ukafanye interview au unataka kuukimbia moto....
Sio kweli maana mm najau selected for oral interview inamaana uende unafanya usail wa mahojianoInasemekana hivyo
Mshahara ni uleule kwa tutorial assistant uwe udsm au tengeru hata kama kuna utofat haufik 200k
Embu niambie tutorial assistant tengeru analipwaje na udsm analipwaje, samahan kwa usumbufu mkuuAliekuambia nan UDSM afanane na tengeru kinachingia mwisho wa mwezi mjomba ebu kalale huko
Ntajitahid kaz zetu za ualimu muda mwingi tunapiga umbea siku nyingne unakuta huna kipindi kabsa na sku nyingne ni kimoja na siku unayotingwa ni mojaOoh kwahiyo unafanya kazi huku unasoma? Usiache tu kazi maana utumishi hawachekeshi! Mimi niliomba assistant mwaka jana wakachukua watu wa3 tu!
Ukishafanya huo usaili mbona haibadiliki inakua vile vile tu?Sio kweli maana mm najau selected for oral interview inamaana uende unafanya usail wa mahojiano
Mmh mm zilibadilika baada ya week 2 nazan nakuandikiwa nilizo attend interviewUkishafanya huo usaili mbona haibadiliki inakua vile vile tu?
HAHHAHAAcha uongo kwenye vitu vya msingi mkuu
huu ni mfanano wa zile porojo za watu tra walikua wanasema kuna watu wametumiwa email ya data base wengine hawajatumiwa.Inasemekana hivyo
We unataka ibadilike vip zaid ya kuandikiwa attended mkuuUkishafanya huo usaili mbona haibadiliki inakua vile vile tu?
Mimi ilibadilika siku hiyo hiyo mkuuMmh mm zilibadilika baada ya week 2 nazan nakuandikiwa nilizo attend interview