Naenda mwakaleli kwa bibi naondoka na NSSF yangu kaka siondok kizembe hapa mjiniKama kuna sehemu Unafanya kazi usiache mkuu, Subiri siku ukiitwa kuanza rasmi ndio uache, me nimevunja mkataba tangu May,sahizi nafanya vibarua tu kitaa
Sekretarieti ya ajira ndiyo wanapunguza imani yetu vijana kila sikuKijana mbona una iman ndogo sana kiasi hiko
Upo sahihi mkuu me pia nili resign mkataba sababu ya Stress za ile kazi, unalala na Stress unaamka na StressNaenda mwakaleli kwa bibi naondoka na NSSF yangu kaka siondok kizembe hapa mjini
Da mwanangu saivi una raha sana unasubir sms ya muamala tu dah nataman ningekuwa wwUpo sahihi mkuu me pia nili resign mkataba sababu ya Stress za ile kazi, unalala na Stress unaamka na Stress
😃 Malalamiko lazima mkuu, uliaga kazini unaondoka umepata ajira serikalini baadae wanakuona umebeba Blocks mtaaniUsipungukiwe na iman mkuu wanaweka mambo sawa kwanza maana bila hivyo utaanza kulalamika kama NIBOO
We fanya yako kama hawaamin basi subiri muda ufike😃 Malalamiko lazima mkuu, uliaga kazini unaondoka umepata ajira serikalini baadae wanakuona umebeba Blocks mtaani
Sawa mkuu ngoja nitembee na ushauri wakoWe fanya yako kama hawaamin basi subiri muda ufike
Bora wewe ulishapata placement letter😃 Malalamiko lazima mkuu, uliaga kazini unaondoka umepata ajira serikalini baadae wanakuona umebeba Blocks mtaani
Kwanini uliuvunja?Kama kuna sehemu Unafanya kazi usiache mkuu, Subiri siku ukiitwa kuanza rasmi ndio uache, me nimevunja mkataba tangu May,sahizi nafanya vibarua tu kitaa
Mimi sitakagi stress kuacha kazi huwa sijiulizi mara mbili🫢Upo sahihi mkuu me pia nili resign mkataba sababu ya Stress za ile kazi, unalala na Stress unaamka na Stress
Acha tamaa!Da mwanangu saivi una raha sana unasubir sms ya muamala tu dah nataman ningekuwa ww
Yaani happ bado!🤣Sekretarieti ya Ajira mnamhujumu Rais Samia nyie,sio bure.
Mnafanya vijana tusiwe na imani na serikali yake.
Zamu yako itafikaa kunitamani na mm shauri yako na mm nikiwa nabubujikwa kwa kufikiwa na serikali ya samiaAcha tamaa!
Ila vimishahara vya laki 8 vinatutolesha jasho🥵Zamu yako itafikaa kunitamani na mm shauri yako na mm nikiwa nabubujikwa kwa kufikiwa na serikali ya samia
Kada yangu mm inaanzia 1.2MIla vimishahara vya laki 8 vinatutolesha jasho🥵
Utasema tunapambania mamilioni😁
Hii nzuriMkichoka mje kutafuta vibarua huku, msisote sana utumishi sio guarantee guyz!😊
Thread 'Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread'
Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread