HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
watu mpo serious sana aisee. Leo weekend hamna nongwa mpo nyumban wacha tuendelee na zogozi
 
Tuombe na kushukuru kwa leo na bila kupoteza matumaini imani ile ile mwendo wa ngili Mungu mmoja na kesho tuwahi ibadani mapema sana

Jumatatu ni siku ya shuhuda kama tupo kwa mwamposa. Kila mmoja atashuhudia kwa namna yake na kuahidi vitu ambavyo hatavitekeleza

Amen
 
Kumbe????
 
Week imeisha bila pdf la maana kutoka utumishi..
Hivi hawa jamaa wakiwa ofisini kazi zao huwa ni nini sasa kama hata kupublish tu majina wanashindwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…