HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Week imeisha bila pdf la maana kutoka utumishi..
Hivi hawa jamaa wakiwa ofisini kazi zao huwa ni nini sasa kama hata kupublish tu majina wanashindwa?
Hv, mnavolalamika hv iliwahi kusaidia hata siku moja?
 
Mbona najaribu kuingia kwenye account yangu ya psrs inaniambia nibadili passwords.
Tatizo nini?
Au ndio kuchinjwa kwenyewe huko?
 
Mbona najaribu kuingia kwenye account yangu ya psrs inaniambia nibadili passwords.
Tatizo nini?
Au ndio kuchinjwa kwenyewe huko?
Badili password kama wanavosema halafu utuambie kama bado kuna shida, Over!
 
muwe watulivu vijana,utumishi wa umma unahitaji uvumilivu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…